iwaHata wewe mwana JF kuna wakati ulidhani ulitupiwa kajini😆😆
HAKUNA UCHAWI.
Unamfahamu Mshana Jr?Hata wewe mwana JF kuna wakati ulidhani ulitupiwa kajini😆😆
HAKUNA UCHAWI.
Yaaani hoja nzito na yenye kubeba imani ya watu zaidi ya asilimia 90 tena hiyo ni kwa Tanzania pekee unaijustify kwa tumaneno tuwili tu! "Hakuna Uchawi"... maana yake hata hizi Dini ni usanii Basi, maana maandiko yao yanatambua uwepo wa uchawi. Basi sawa mkuu.Hata wewe mwana JF kuna wakati ulidhani ulitupiwa kajini😆😆
HAKUNA UCHAWI.