Nimecheka aisee, mwenyewe apa kuna chalii mimemuambia weka 10k kwa 30 kagunaKuna mmasai leo kaacha watu hoi sana. Anadai Simba inashida 7-0 kesho afu anaongea kwa kujiamini sana mpaka ameweka 20k kwa buku watu wakapgopa.
Huyo Manara ndio huwa anawapoteza Simba.
anawafanya Simba wajione Barcelona kumbe ushuzi tupu.
Hii ushuzi umetoka kuwapiga 4-1 majuzi tu hapa, manake nyie ni Mavi.Huyo Manara ndio huwa anawapoteza Simba.
anawafanya Simba wajione Barcelona kumbe ushuzi tupu.
Wewe njoo tuzungumze baada ya mechi kesho.Hii ushuzi umetoka kuwapiga 4-1 majuzi tu hapa, manake nyie ni Mavi.
Itafika tena zaidi ya robo fainali, ikifikia mfumo kama unaoendeshwa na SimbaHatupindui meza ila tumefika robo fainal ya club bingwa, nyie utopolo mtuambie lini mtafika huku. Au mtabaki kuongerea habari za Simba tuu
Hizo zinaitwa mind game mkuu. Kumbuka first leg ilikuwaje, jamaa wakasema wana wacheza injury kibao, halafu wakawapa sifa timu ya Simba halafu wakajiweka kwenye unyonge. Kilichotokea ni goal nne. Hapa wanawapa tension marefa na pia wapimaji.Hadi sasa leo ijumaa tayari Simba inaongoza kwa goli 2:0
Maana Kaizer wameshamuogopa Refa aliyepangwa toka kwa majirani zetu, kisha wanaogopa habari za kupima Covid wameshajipima kwao kabla ya kuanza safari kwa woga wa fitna.
Je kesho wakikuta majivu tu pale uwanjani si wataogopa hata kuingia vyumbani kwa woga?. Kumbe mbwembwe na mikwara ya nje ya uwanja ni silaha tosha.
Mzulu atakeketwa mchana kweupeeeeeeMoja kwa moja kwenye mada.
Hawa Simba yaani bila kupepesa macho kwenye akili zao wanaamini kabisa kesho watapindua meza na kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya klabu bingwa Afrika. Come on guys magoli 4 ni mengi sana, mlikosea sana ile mechi ya kwanza. Mechi ya kwanza mlijiamini sana pia mkawa na dharau kwa Chiefs.
Binafsi naamini simba hapo kesho atashinda ila sio ushindi wa 4 bila ama 5 bila hiyo kitu haito tokea. Jana nimeona na kusikia Manara akisisitiza kuwa lazima washinde tena ana mzuka kabisa huku anatikisa miguu jicho kavu limemtoka balaa.
Ukweli ni kuwa first leg mliwadharau sana Chiefs
Ushuzi ndo huo upo robo fainali...Huyo Manara ndio huwa anawapoteza Simba...
anawafanya Simba wajione Barcelona kumbe ushuzi tupu.....