Idakolyanzoka
Member
- May 19, 2021
- 25
- 70
Kesho meza miguu juu hakuna namna.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmasai katisha mbayaaa....!!Kuna mmasai leo kaacha watu hoi sana. Anadai Simba inashida 7-0 kesho afu anaongea kwa kujiamini sana mpaka ameweka 20k kwa buku watu wakapgopa.
'Ana Mzuka Kabisa huku Anatikisa mguu Jicho Kavu Limemtoka balaa.....! Hii sentensi imenifanya nicheke....! Manara Ndo Kazi Yake pale Simba..!Moja kwa moja kwenye mada.
Hawa Simba yaani bila kupepesa macho kwenye akili zao wanaamini kabisa kesho watapindua meza na kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya klabu bingwa Afrika. Come on guys magoli 4 ni mengi sana, mlikosea sana ile mechi ya kwanza. Mechi ya kwanza mlijiamini sana pia mkawa na dharau kwa Chiefs.
Binafsi naamini simba hapo kesho atashinda ila sio ushindi wa 4 bila ama 5 bila hiyo kitu haito tokea. Jana nimeona na kusikia Manara akisisitiza kuwa lazima washinde tena ana mzuka kabisa huku anatikisa miguu jicho kavu limemtoka balaa.
Ukweli ni kuwa first leg mliwadharau sana Chiefs
Sio mpira unaanza tu kaiza wanawachapa kimoja 1 mpaka half time.....kwa simba inawezekana, wanacho takiwa kipindi kwanza tu wapige goli 4, cha pili 2.
hawatakiwi kupoteza nafasi hata moja,
hawatakiwi kujilinda, wanatakiwa washambulie kuanzia dakika ya 1 mpaka 90.
wakabe kama nyuki.
watumie akili zaidi kuliko nguvu.
nguvu itumike mwishoni kabisa.
wachezaji wanao tumia sana akili kuliko nguvu ni;
1. Chama
2. Morison
3. bwalya.
4. Husein
5. wawa
n.k n.k aina ya wachezaji hao ndio watakao fanikisha mabao zaidi ya 6
subiri kesho, usije ukawahi kwenda kulala.Sio mpira unaanza tu kaiza wanawachapa kimoja 1 mpaka half time.....
hapo ndio mtajua hamjui
😀 😀 😀Kuna mmasai leo kaacha watu hoi sana. Anadai Simba inashida 7-0 kesho afu anaongea kwa kujiamini sana mpaka ameweka 20k kwa buku watu wakapgopa.
Una bidii ya kutafuta Blood Pressuresubiri kesho, usije ukawahi kwenda kulala.
Tazama wanaume wa shoka Simba watakavyo msakama mtu
Sasa unataka tuseme hatupindui meza? Hatuna mentality kama ya uto...Moja kwa moja kwenye mada.
Hawa Simba yaani bila kupepesa macho kwenye akili zao wanaamini kabisa kesho watapindua meza na kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya klabu bingwa Afrika. Come on guys magoli 4 ni mengi sana, mlikosea sana ile mechi ya kwanza. Mechi ya kwanza mlijiamini sana pia mkawa na dharau kwa Chiefs.
Binafsi naamini simba hapo kesho atashinda ila sio ushindi wa 4 bila ama 5 bila hiyo kitu haito tokea. Jana nimeona na kusikia Manara akisisitiza kuwa lazima washinde tena ana mzuka kabisa huku anatikisa miguu jicho kavu limemtoka balaa.
Ukweli ni kuwa first leg mliwadharau sana Chiefs.
Umbumbumbu wa mashabiki wa simba,hauwafikii hata robo umbumbumbu wa mashabiki wa timu wananchi wa JaNgWani,a.k.a. kamati ya mapokezi ya wageni wa simba,wamedanganywa Sana In jinia,wamedanganywa Sana na 800kg, Mashabiki wa timu pendwa magazetini Kuna kitu Cha kujifunza kwa timu ya [emoji881],msione aibu kuiga Mambo mazuri kutoka kwa [emoji881] .Always Wanachama na Mashabiki wa Simba ni Mbumbumbu, hakuna jipya.
Ujinga ni bado kuendelea kuamini BM3 ni mchezaji wenu halali uto, ujinga ni kuamini bodi ya ligi ,Tff na waamuzi wanachuki na timu yenu pendwa ya wananchi wa JaNgWani.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Simba kule kujiamini kupita maelezo kuna waponza sana pia na yule mpuuzi wenu anawaaminisha ujinga akiwa kwenye vyombo vya habari. Leo hii imefikia mashabiki wa simba wanaamini kabisa timu yao ikiwa uwanjani lazima ishinde kumbe mpira hauko hivyo. Ipo siku mtakufa kwa kuamini ujinga.