Asilimia 99 ya wanaomshambulia Paula wamejaa unafiki, chuki na wivu

Ukisema Kyle Jenner wa Tz kuna watu wanaumia eti 😂😂😂
 
Mtoto anausambaza kwa kasi ya 5G haya bana cjui kama tutapona😭
 
Pumbavu..
 
Sio kwamba ni wanafki wanachuki au wivu kwake.
Bali wanamuonea huruma asije akaishia kuwa Kama mama yake.
Kiukweli yule binti kwa umri wake angetakiwa awe shule akisomea hata ka ujuzi flani ( Kama hataki sekondari)
La sivyo kwa maisha yetu ya kitanzania binti anapotea vibaya Sana.
Majani analipwa hapa hapa dunia kwa ubazazi aliowafanyia wazazi kajala kwa kumpa mimba binti yao (kajala) akiwa mdogo na kumwaribia maisha yake. The. Same like what is going on to his daughter.
Naona na yeye anashuhudia jinsi binti yake anavyoharibiwa
Kweli karma ipo.
 
Unaweza usiwe ww ila wapo wanaomuonea wivu kwa mahali alipo
Yupo mahali gani?
Kuna kitu gani cha maana au biashara gani ya maana anayoifanya ili kwamba watu wamuonee wivu wa kimaendeleo ili hata wengine wamuige?
 
Eti asije ishia kuwa kama mama yake hahahaah
Hivi unayajua maisha ya Kajala wewe?
Unafikiri Kajala ana maisha mabovu au unafata mkumbo tu wa mitandao?
 
Yupo mahali gani?
Kuna kitu gani cha maana au biashara gani ya maana anayoifanya ili kwamba watu wamuonee wivu wa kimaendeleo ili hata wengine wamuige?
Paula ni socialite anayeenda kuwa mkubwa sana na pesa zitamfata.

Mbona kabla hajaanza watu washaanza kuweka pesa nimewaona darling na kampuni ya pedi wameshasaini nae deal ya pesa.
 
Reactions: Qwy
Paula ni socialite anayeenda kuwa mkubwa sana na pesa zitamfata.

Mbona kabla hajaanza watu washaanza kuweka pesa nimewaona darling na kampuni ya pedi wameshasaini nae deal ya pesa.
Haya kajala masanja naona unambrand mwanao fighting for food four years form four failure
 
Eti asije ishia kuwa kama mama yake hahahaah
Hivi unayajua maisha ya Kajala wewe?
Unafikiri Kajala ana maisha mabovu au unafata mkumbo tu wa mitandao?

Kajala anamaisha gani
scrapper kabisa yule
Mali pekee anayomiliki labda ni huyo
binti yake ambaye ameshaanza kumfanya kitegauchumi.
Kajala ni mfano wa wazazi wa hovyo ambao wametokana na makuzi ya hovyo waliyokulia ikichangiwa na ulimbukeni wa maisha na tabia ya kufata mikumbo ya hawa wasanii wa hapa bongo
 
Yupo mahali gani?
Kuna kitu gani cha maana au biashara gani ya maana anayoifanya ili kwamba watu wamuonee wivu wa kimaendeleo ili hata wengine wamuige?
Huyo ni ww mwenye kufanya tafiti zote hzo, ila hao wanao muonea wivu yote hayo hawajifikilii, wanachoona wao anadate na staa, mitandaoni yy ndie anazungumziwa vlevle ni staa pia, ko watu wanamuonea wivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…