Mnhhhh this is sad,nikikumbuka story yangu mwenyewe na relate na wasichana wanaoingia kwenye mapenzi kwenye umri mdogo nahuzunika zaidi, kwa kifupi ukiwa msichana uko kwenye vulnerable position, akili na mwili havijawa matured enough ku handle relationship na uki break up jinsi Utakavyo suffer emotionally ni mbaya na inaweza ku last life time, Angalia wote walioanza mapenzi umri mdogo kama hata wana long relationship??? hawawezi kukaa kwenye committed relationship sababu wamekua damaged emotionally , they are left confused, ningekua Kajala ningemprotect mwanangu sio kumuachia ulimwengu uumfunze,its a cruel world