Asilimia Kubwa Ya Mashabiki Wa Simba SC Hakufurahishwa Na Usajili wa Moses Phiri?

Nimejaribu kuangalia thamani za hao wachezaji wa vilabu vya mitaa ya Msimbazi/Bunju na Jangwani/Kigamboni nao wa mitaa ya Jangwani/Kigamboni thamani yake ipo juu.
 
Kambale mechi 28 ana goli 1 na assist 1.
Phili mechi 26/goli 14 assist 6.

Ipi ni ligi bora?

Dakika ngapi kila mmoja amecheza?

Alafu Yanga inasajili kutokana na maagizo ya Kocha Mkuu,

Kwa Simba wanasajili kutokana na utashi wa viongozi sababu hakuna Kocha Mkuu.
 
Ipi ni ligi bora?

Dakika ngapi kila mmoja amecheza?

Alafu Yanga inasajili kutokana na maagizo ya Kocha Mkuu,

Kwa Simba wanasajili kutokana na utashi wa viongozi sababu hakuna Kocha Mkuu.
Maagizo ya kocha ni kusajili mareject?
 
Ipi ni ligi bora?

Dakika ngapi kila mmoja amecheza?

Alafu Yanga inasajili kutokana na maagizo ya Kocha Mkuu,

Kwa Simba wanasajili kutokana na utashi wa viongozi sababu hakuna Kocha Mkuu.
kawaida sana labda kama aufatilii,zipo timu nyingi kocha anakuja ndani ya timu anakuta wachezaji anaenda nao na timu inafanya vizuri.

kuhusu ligi bora sio kigezo,kigezo ni uwezo na perfomance ya timu.zipo ligi bora Africa lakini timu zake hazipo hata kwenye top 20 ya timu bora Africa.Kambole anatoka ligi bora South Africa anakuja ligi ya chini huku Tanzania ni wazi ameshuka angekua bora angetakiwa kwenye nchi zenye ligi bora zaidi ya Tanzania au angebakia hapohapo south.

kuhusu mchezaji kupewa nafasi(dakika ngapi kacheza au mechi ngapi) ni mwalimu namna anavyoona ufanisi wa mchezaji akipewa nafasi kwenye mechi au kwenye mazoezi.
 
sajili imezima kelele za uto kuchukua ubingwa ishi nayo hyoo
 
Baada ya kusajili kombole ambae ni galasa mmeanza kujificha kwenye kichaka na Moses phiri
 
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…