Asilimia kubwa ya utajiri wa Diamond unatokana na kilimo

Diamond ana mashamba makubwa makubwa sana na analima alizeti,karanga na mchele ingawa yeye binafsi hapendi kuliweka wazi suala hili.

Kwa hiyo wale ambao wanadhani diamond atafulia kipesa wanajisumbua tu ukimzibia huku jamaa anatoboa huku.
Ikiwa yeye mwenyewe hapendi tujue, kimekuwasha nini uache shughuli zako uje kuanzisha mada kuhusu yasiyokuhusu?

Huu ndio hasa UMAMA, tena UMAMA KUBWA. Ukuwadi huishia ushogani. Ama ikiwa wewe ni mwanamke wake, basi niwie radhi maana ni ada ya mwali kumsifie bwana wake.
 
We umeliamini Hilo? Okey tufanye uko sahihi.nina swali 1,hivi ukiwa unamiliki hisa wewe sio mmiliki wa kampuni husika?

UNAKUA MMILIKI ILA UKIWA NA HISA CHACHE HAPO HAUKO SAWA NA MWENYE SHARE NYINGI... ILA SIO KM ANAVYOJINASIBU

Huwezi kuwa na 10% alafu ukijata wewe ndio mmiliki.
 
Hawe hawezi kufulia!!?....wewe ndo unaepanga?...kuna matajiri wakubwa na wamefulia sembuse yeye!....siombei afulie lakini huwezi tuhakikishia eti hawezi kufulia!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…