Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Tuikatae CCM ni zaidi ya shetaniHuo ndio ukweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuikatae CCM ni zaidi ya shetaniHuo ndio ukweli
Shonza, Katambi.... hahahaha 🤣 🤣 🤣.Usiwachukulie powa viongozi wa CCM ,ni kikundi cha watu wachache sana wenye akili nyingi, ndio maana wakigundua kule upinzani kuna mtu ana akili kama zao watataka wamvute ili waimarishe timu, Silinde, Kafulila, Katambi, Shonza, na wengineo wengi ni mfano hai.
Njoo kwa wananchi wa kawaida sasa, wale wenye akili huwa hawashabikii CCM bali malofa,wajinga na masikini wa kipato na akili.
Hii ni kuanzia ngazi ya kata kushuka chini,
Hii ina maana kuna watu wenye akili wanajiunga CCM ili kugawana keki ya Taifa.
Narudia tena ukiona mtu hana mpango wa kugombea uongozi na yuko CCM basi ujue huyo ni masikini ama wa kipato au fikra
Ndio maana CCM ina nguvu mikoa iliyo nyuma kimaendeleo.
CCM wanalijua hili ndio maana inachekewesha maendeleio ili iendelee kutawala,Watanzania siku wakielimika na kupevuka akili ndio anguko la CCM
Kuwatoa CCM ni ngumu,kuna mijitu ina akili sana kule juu inajua jinsi ya kucheza na akili za watuNakubaliana na wewe, ni ngumu sn kukuta kiongozi wa CCM anaelimu ya F4 ngazi ya kata kushuka chini wengi hata la saba hawajamaliza asee
Unaonekana ulipigwa chini 2022 kwenye uchaguzi wao wa ndani.Usiwachukulie powa viongozi wa CCM ,ni kikundi cha watu wachache sana wenye akili nyingi, ndio maana wakigundua kule upinzani kuna mtu ana akili kama zao watataka wamvute ili waimarishe timu, Silinde, Kafulila, Katambi, Shonza, na wengineo wengi ni mfano hai.
Njoo kwa wananchi wa kawaida sasa, wale wenye akili huwa hawashabikii CCM bali malofa,wajinga na masikini wa kipato na akili.
Hii ni kuanzia ngazi ya kata kushuka chini,
Hii ina maana kuna watu wenye akili wanajiunga CCM ili kugawana keki ya Taifa.
Narudia tena ukiona mtu hana mpango wa kugombea uongozi na yuko CCM basi ujue huyo ni masikini ama wa kipato au fikra
Ndio maana CCM ina nguvu mikoa iliyo nyuma kimaendeleo.
CCM wanalijua hili ndio maana inachekewesha maendeleio ili iendelee kutawala,Watanzania siku wakielimika na kupevuka akili ndio anguko la CCM
kugombea uongozi chadema hasa uenyekiti Taifa ni sawa na kuonja sumu kwa ulimi..Usiwachukulie powa viongozi wa CCM ,ni kikundi cha watu wachache sana wenye akili nyingi, ndio maana wakigundua kule upinzani kuna mtu ana akili kama zao watataka wamvute ili waimarishe timu, Silinde, Kafulila, Katambi, Shonza, na wengineo wengi ni mfano hai.
Njoo kwa wananchi wa kawaida sasa, wale wenye akili huwa hawashabikii CCM bali malofa,wajinga na masikini wa kipato na akili.
Hii ni kuanzia ngazi ya kata kushuka chini,
Hii ina maana kuna watu wenye akili wanajiunga CCM ili kugawana keki ya Taifa.
Narudia tena ukiona mtu hana mpango wa kugombea uongozi na yuko CCM basi ujue huyo ni masikini ama wa kipato au fikra
Ndio maana CCM ina nguvu mikoa iliyo nyuma kimaendeleo.
CCM wanalijua hili ndio maana inachekewesha maendeleio ili iendelee kutawala,Watanzania siku wakielimika na kupevuka akili ndio anguko la CCM
Hivi Jiwe si ndiye alisema ataiua CDM mwisho wa siku akafa yeyeKwa sasa mkuu chadema haina nguvu unayoipa ushawishi wake umeshika kwa kasi kubwa sana nadhani mzimu wa JPM utawatesa sana mpaka waombe radhi la sivyo watapotea kabisa kama TLP.
Basi weee mkuu utaishi milele na mileleHivi Jiwe si ndiye alisema ataiua CDM mwisho wa siku akafa yeye
Tumeendekeza mawazo ya kusaidiwa kuliko kujitegemea.Mageuzi ya kifikra yanahitajika ili kujikomboa ktk utawala wa ccm
fikra mpya
1. Tunahitaji mageuzi ya kimfumo na kiutawala m'badala wa ccm ili kuleta viongozi wapya na mawazo na dira mpya
2. Katiba mpya
3. CCM wawe wapinzani kwa muda ili nao wawe wakosoaji ktk kuleta maendeleo ya taifa
Mbona ma twin wenu wakenya wanaandamana huku na mabomu ya machozi yanapigwa ila wanakichafua,,,,huku mkiona gwanda tu mnaufyataKama ingekuwa hivyo Yale Maandamanovya Polisi ya mwezi mzima yalikuwa ya nini?
View attachment 3123439
Hakuna dola ikijitenga CCM ni wepesi snKuwatoa CCM ni ngumu,kuna mijitu ina akili sana kule juu inajua jinsi ya kucheza na akili za watu
Ni suala la muda tuKuitumia dola ndio akili yenyewe
Mfano hai ni msukule Lucas Mwashambwa.Usiwachukulie powa viongozi wa CCM ,ni kikundi cha watu wachache sana wenye akili nyingi, ndio maana wakigundua kule upinzani kuna mtu ana akili kama zao watataka wamvute ili waimarishe timu, Silinde, Kafulila, Katambi, Shonza, na wengineo wengi ni mfano hai.
Njoo kwa wananchi wa kawaida sasa, wale wenye akili huwa hawashabikii CCM bali malofa,wajinga na masikini wa kipato na akili.
Hii ni kuanzia ngazi ya kata kushuka chini,
Hii ina maana kuna watu wenye akili wanajiunga CCM ili kugawana keki ya Taifa.
Narudia tena ukiona mtu hana mpango wa kugombea uongozi na yuko CCM basi ujue huyo ni masikini ama wa kipato au fikra
Ndio maana CCM ina nguvu mikoa iliyo nyuma kimaendeleo.
CCM wanalijua hili ndio maana inachekewesha maendeleio ili iendelee kutawala,Watanzania siku wakielimika na kupevuka akili ndio anguko la CCM
Wewe mwenyewe ni sample space,Wewe ni mjinga pia
- Tuambie utafiti huu uliufanya ktk mikoa ipi;
- Tuambie sample yako ilikuwa na wahojiwa wangapi;
- Tuambie huko mitaani wanaccm uliwatambuaje?
Inshort kazi ya utafiti huiwezi
Usiwachukulie powa viongozi wa CCM ,ni kikundi cha watu wachache sana wenye akili nyingi, ndio maana wakigundua kule upinzani kuna mtu ana akili kama zao watataka wamvute ili waimarishe timu, Silinde, Kafulila, Katambi, Shonza, na wengineo wengi ni mfano hai.
Njoo kwa wananchi wa kawaida sasa, wale wenye akili huwa hawashabikii CCM bali malofa,wajinga na masikini wa kipato na akili.
Hii ni kuanzia ngazi ya kata kushuka chini,
Hii ina maana kuna watu wenye akili wanajiunga CCM ili kugawana keki ya Taifa.
Narudia tena ukiona mtu hana mpango wa kugombea uongozi na yuko CCM basi ujue huyo ni masikini ama wa kipato au fikra
Ndio maana CCM ina nguvu mikoa iliyo nyuma kimaendeleo.
CCM wanalijua hili ndio maana inachekewesha maendeleio ili iendelee kutawala,Watanzania siku wakielimika na kupevuka akili ndio anguko la CCM
Anaangukia kundi la wajingaAkina Lucas Mwashambwa 🤣
CCM hakuna msukule bali wapo misukule wa Mzee MboweMfano hai ni msukule Lucas Mwashambwa.