Asilimia kubwa ya viongozi wa CCM wana akili kubwa, ila wanachama wa kawaida asilimia kubwa ni wajinga, masikini wa fikra na mali

Shonza, Katambi.... hahahaha 🤣 🤣 🤣.
 
Ccm kinachombeba ni vyombo vya ulinzi tu basi.mfano polisi huzuia maandamano ya haki kama yale ya utekaji na kuzuia mikutano ya ndani ya vyama vya upinzani Kwa hoja za kijinga kuwa intelijensia imetabiri vurugu.Vilevile teeth ni mabingwa wa kuiba kura Kwa kuibeba ccm.Siku vyombo vya ulinzi vikapata watu waadilifu na wenye kufuata haki,CCM ndiyo itakuwa mwisho wake
 
Unaonekana ulipigwa chini 2022 kwenye uchaguzi wao wa ndani.
 
kugombea uongozi chadema hasa uenyekiti Taifa ni sawa na kuonja sumu kwa ulimi..

kugombea kwenye nafasi nyingine, kuna hatari ya kutolewa kafara au kuchukuliwa msukule 🐒
 
Kwa sasa mkuu chadema haina nguvu unayoipa ushawishi wake umeshika kwa kasi kubwa sana nadhani mzimu wa JPM utawatesa sana mpaka waombe radhi la sivyo watapotea kabisa kama TLP.
Hivi Jiwe si ndiye alisema ataiua CDM mwisho wa siku akafa yeye
 
Ni kweli CCM ina watu wengi wenye Akili tatizo ni kwamba utamaduni wa kuwaabudu viongozi unawaangusha. Yaani utaratibu ule wa zidumu fikra za mwenyekiti unaenelea na ndio maana kuna uchawa.
 
Tumeendekeza mawazo ya kusaidiwa kuliko kujitegemea.
Haya uliyo andika sahau
 
Mfano hai ni msukule Lucas Mwashambwa.
 
Wewe ni mjinga pia
  • Tuambie utafiti huu uliufanya ktk mikoa ipi;
  • Tuambie sample yako ilikuwa na wahojiwa wangapi;
  • Tuambie huko mitaani wanaccm uliwatambuaje?

Inshort kazi ya utafiti huiwezi
Wewe mwenyewe ni sample space,
Nyie ndio wale wanachama wa chini wajinga ninaosema
 
Akina Lucas Mwashambwa 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…