Asilimia kubwa ya Wabunge wa JMT, kama siyo sababu ya ukilaza, basi wana wivu kwa mbunge Mpina

Asilimia kubwa ya Wabunge wa JMT, kama siyo sababu ya ukilaza, basi wana wivu kwa mbunge Mpina

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Ninachoendelea kukiona Bungen ni kile nilichowahi kusema humu, Asilimia Kubwa ya Wabunge wetu aisee ni Vilaza sana, na pamoja na ukilaza, wengi wao ukilaza unawafanya wamchukie yule mtu ambaye anaonekana ni Mwenye Upeo mkubwa.

Jamani Ndugu zangu Wabunge, Kua Mbunge sio kupiga makofi, sio kusema ndiooo, sio kuunga hoja tu, sio makofi.

Mnakua wa ajabu mpaka basi, Hapo akisimama mbunge alete hoja ya Kijinga jinga sasa, nikama vile kawakuna, mnafurahiii weeee na makofi juu.

Ila kwakua Mpina anaongea vitu msivyovielewa, na hamuelewi kitu, wengi wenu mmeishia kumchukia na kumuona kama anayeharibu!

Hili ndio Bunge, tunalotegemea liisimamie Serikali 😂😂!!
 
Mpina akaze hapohapo napenda sana CONFIDENT anavyombana Madelu
 
Yule komredi naye haeleweki ni msomi wa aina gani?!, anaposema yale mambo si kujadili mambo ya waganga wa kienyeji. Mbunge msomi anamuambia mbunge mwenzake hawajadili mambo ya waganga wa kienyeji. Komredi kama hajawa mkomavu kisiasa, ana majibu ya jazba
 
Back
Top Bottom