Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
Yani inaonekana chuo kama private na kama mtoto alisoma private school..panga la kukosa ni kubwa zaidi..wanaangalia ada ya private school ilikuwa ngapi na ya chuo unachotaka ngapi..kisha wanaona unaweza mudu au vipi wanakupangia kiasi au kutopanga kabisaNdugu watz baada kufanya utafiti wa muda mfupi, vyuo vikuu vingi hapa Tanzania wanafunzi wa first year wamekosa mikopo hivyo wanasuasua kureport vyuoni.
Sijajua wizara inalengo gani na swala hili maana vyuo vingi wanafunzi hawajareport! Wizara shughulikieni haraka ili wadogo zetu wakasome.
Sasa mpaka hio batch si itakuwa vyuo vilishaanza na kama mzazi akishalipia hata semester moja manake unaweza..endelea ...mtego huoSi wanasema kuna batch tano mwaka huu
Nashauri wanafunzi wa vyuo vikuu walipiwe ada tuu, lkn bumu wasipewe ili kuepuka mzigo wa deni la maisha huko mbeleni, mzazi jitahid sana kuepuka huu mtegoNdugu watz baada kufanya utafiti wa muda mfupi, vyuo vikuu vingi hapa Tanzania wanafunzi wa first year wamekosa mikopo hivyo wanasuasua kureport vyuoni.
Sijajua wizara inalengo gani na swala hili maana vyuo vingi wanafunzi hawajareport! Wizara shughulikieni haraka ili wadogo zetu wakasome.
Nashauri wanafunzi wa vyuo vikuu walipiwe ada tuu, lkn bumu wasipewe ili kuepuka mzigo wa deni la maisha huko mbeleni, mzazi jitahid sana kuepuka huu mzigoNdugu watz baada kufanya utafiti wa muda mfupi, vyuo vikuu vingi hapa Tanzania wanafunzi wa first year wamekosa mikopo hivyo wanasuasua kureport vyuoni.
Sijajua wizara inalengo gani na swala hili maana vyuo vingi wanafunzi hawajareport! Wizara shughulikieni haraka ili wadogo zetu wakasome.
Mitano tenaNdugu watz baada kufanya utafiti wa muda mfupi, vyuo vikuu vingi hapa Tanzania wanafunzi wa first year wamekosa mikopo hivyo wanasuasua kureport vyuoni.
Sijajua wizara inalengo gani na swala hili maana vyuo vingi wanafunzi hawajareport! Wizara shughulikieni haraka ili wadogo zetu wakasome.