DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Habar JF
Kiukweli nimechunguza watu wanaopenda kunyoa kipara wanakuwa tiyari wameshepata umeme.
Kiukweli nimechunguza watu wanaopenda kunyoa kipara wanakuwa tiyari wameshepata umeme.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakurya bwana!! Kwa hiyo huu nao ni utafiti!??Habar JF
Kiukweli nimechunguza watu wanaopenda kunyoa kipara wanakuwa tiyari wameshepata umeme.
Wanaume wa dar wakipata ela za kubeti na mb taabu tupuuuu......upupu gani sasa huuu......kaka ake Titus co bureHabar JF
Kiukweli nimechunguza watu wanaopenda kunyoa kipara wanakuwa tiyari wameshepata umeme.
Tabu kweli kweliWanaume wa dar wakipata ela za kubeti na mb taabu tupuuuu......upupu gani sasa huuu......kaka ake Titus co bure
watu wamikoani sijui kwann amuelimiki...mkiambiwa ukweli mnaukataa...amjui kuwa dar nikifupi cha neno Tanzania.Wanaume wa dar wakipata ela za kubeti na mb taabu tupuuuu......upupu gani sasa huuu......kaka ake Titus co bure
Wewe ni nesi wa zahanati gani?Habar JF
Kiukweli nimechunguza watu wanaopenda kunyoa kipara wanakuwa tiyari wameshepata umeme.
Mto wangomaWewe ni nesi wa zahanati gani?
Ndio unawafanyia watu uchunguzi ukalijua hilo?Mto wangoma
vipara 80 +Ndio unawafanyia watu uchunguzi ukalijua hilo?
Vipara wangapi wilikuja na wangapi + uliwapata?
Mtoa mada ni Mhaya kuu. Kumbuka umeme ulianzia mkoa kwao hivyo usimbishieWakurya bwana!! Kwa hiyo huu nao ni utafiti!??
Mh! Akwende huko na utafiti wake, so afanye utafiti wa senene!!Mtoa mada ni Mhaya kuu. Kumbuka umeme ulianzia mkoa kwao hivyo usimbishie
(Owomukyalo = wa duniani kwa kihaya)
Nabii Tito kapita humu.Habar JF
Kiukweli nimechunguza watu wanaopenda kunyoa kipara wanakuwa tiyari wameshepata umeme.