Asilimia kubwa ya wanao nyoa vipara wana umeme

Asilimia kubwa ya wanao nyoa vipara wana umeme

Mtoa mada ni mpuuzi kabisa na hana maana hata kidogo. Mimi ni mnyoa kipara maarufu. Huu upumbavu wake sikubaliani nao kabisa
Jamani anachangamsha genge tu mkuu...don't take t serious[emoji23] [emoji23]
 
Mtoa mada mtamdharau lakini ukweli ndo huo hasa wale ambao wameshaanza kunyonyoka nywele. Kiukweli kuna kaukweli ingawa siyo wote.
Mmmmh ya kweli haya mkuu[emoji15] [emoji15]
 
Voltage ya huo umeme ni kias gan, je Tanesco wanalijua hili na wameidhinisha umeme huo utumike?
Au una maana kile kipara ni kama umeme wa solar, kama ni hvyo Mobisol, Sundar solar, Sunking wajiandae kwa upinzani
 
Umejuaje mkuu?

Mmeo au baba yako ananyoa ivyo alfu anao au?
 
Hahahaha namm nakuongezea hiii japokua watu niwabishi.

Asilimia kubwa yawanaokuja CTC wanaume wengi wamenyoa na wanawake wengi wamenyoa yaan hawasuki + vilemba ( hii niwale wasojiweza kiuchumi ) na wengine wanasuka ila niwale wanaosuka kwa kuongezea minywele yabandia + mawigi.
( nadhan hii ni imekaa kisaikolojia zaidi)
Ulolisema nikweli japo ujaweka kiutalaam ,, Ila amini nakuambia MOJA YA DALILI KUBWA YA UKIMWI UWE UNATUMIA ARVs AU HAUTUMIII NYWELE ZAKO ZITALAINIKA NA KUTELEZA TUUU . na kwasababu ya hio wengi hupendelea Kunyoa au kufunika vichwa vyao.
 
Ikiwa ndivyo mnavyofikiri basi kuanzia leo nitaziachia nywele zangu eboooh!
 
Mtoa mada mtamdharau lakini ukweli ndo huo hasa wale ambao wameshaanza kunyonyoka nywele. Kiukweli kuna kaukweli ingawa siyo wote.
100% kweli ulichokisema !!.

tatizo wanakuaga kisaikolojia hawako sawa ndo maana inapelekea mtu kunyoa dongo tuuu !!.
 
watu wamikoani sijui kwann amuelimiki...mkiambiwa ukweli mnaukataa...amjui kuwa dar nikifupi cha neno Tanzania.
na masaki ni kifupi cha neno marekani siyo
nyie mnamatatizo kweli kweli
 
Kama ww ni wa mkoani sina shida na ww lakin kama wa Dar basi inabidi ukapimwe mkojo maana hio kauli yako ni ya kichochezi, sie wenye upara huwa tunanyoa vipara kuficha upara sasa kama tuna umeme njoo tukuunge uwe unatumia bure kwako uachane na wa Tanesco
 
Back
Top Bottom