[emoji23] [emoji23] [emoji23] ....kawapa za uso watu wanatoka povuu tu!Hahahaa, mkuu mtoa maada umetishaa, [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Jamani anachangamsha genge tu mkuu...don't take t serious[emoji23] [emoji23]Mtoa mada ni mpuuzi kabisa na hana maana hata kidogo. Mimi ni mnyoa kipara maarufu. Huu upumbavu wake sikubaliani nao kabisa
Mmmmh ya kweli haya mkuu[emoji15] [emoji15]Mtoa mada mtamdharau lakini ukweli ndo huo hasa wale ambao wameshaanza kunyonyoka nywele. Kiukweli kuna kaukweli ingawa siyo wote.
Umeona OMO?Kheeeee
Ivi nivipara vya wapi jamani maana mwili wa binadamu unasehemu nyingi za kunyolewa viparaMtoa mada naye anakipala mjue..
Zaidi ya omo hiliUmeona OMO?
100% kweli ulichokisema !!.Mtoa mada mtamdharau lakini ukweli ndo huo hasa wale ambao wameshaanza kunyonyoka nywele. Kiukweli kuna kaukweli ingawa siyo wote.
Hivi umeme wa Singida upo au magumashi?Ni umeme upi sasa wa TANESCO ama wa gesi kutoka Mtwara? Au upepo kutoka Singida?
na masaki ni kifupi cha neno marekani siyowatu wamikoani sijui kwann amuelimiki...mkiambiwa ukweli mnaukataa...amjui kuwa dar nikifupi cha neno Tanzania.
Twaweza katika uboraHabar JF
Kiukweli nimechunguza watu wanaopenda kunyoa kipara wanakuwa tiyari wameshepata umeme.