matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Noma aisee.Huyo mama muuza figiri katema madini yalioyotuvusha wengi
Degree bila output ni kusomea ujinga.mtupu , some time aibu yako ndio umasikini wako Pia , oooh Mimi nina degree siwezi fanya Kazi Hii , we endelea kisubiri wenzako wanatoboa tu
umenipa kitu cha thamani sana MWENYEZI MUNGU akubariki nitafanyia kazi japo sipo Dar siku zote Dar salamaMama mmoja muuza mchicha Rafiki yangu aliwahi kuniambia. Jiji la Dar es Salaam halitaki mtu mvivu au mgonjwa. Ukishinda hapo huwezi kulala njaa.
Kuna huyu Muha na yeye akaniambia alipofika DSM alianza kuishi kwenye karavati maeneo ya external hadi alipotoboa. Leo ananyumba Kubwa tu.
DSM ndio unapatia michongo ya nchi nzima.
Huyu yeye alikuwa houseboy wa Mchungaji fulani. Leo ni graphics designer ambaye hajui hata adobe Photoshop inafananaje. Yeye anachojua nani anataka nini na yeye anahakikisha anapata solution ya anaychotaka hata kwa Kukodi designers. Haishiwi huyu mchicha.
Huyu ananiambia siku anafika DSM alitaka kulia. Kila anakopita anaona ni mahela tu yako nje nje.
Huyu alikuwa form four failure, alipokutana na wachina Leo bila digrii ni construction engineer anayesimamia matechnician na miradi mikubwa ya hao wachina bila kuharibu.
Core values za mdareslam aliyetoka kwa mujibu wa mama muuza figiri, mchicha, mnamfu, gwasi na tembere ni
1: Usiwe mvivu, amka MAPEMA.
2: Hakikisha huuguiugui. Linda afya.
3: Usiwe teketeke force mambo hadi yawe.
4: usiwe na kinyaa au aibu wala usiogope mtu.
5: uwe na utayari kufanya chochote kwa schedule yoyote.
6: usiongeeongee sana, piga kazi kimya kimya.
7: Unyumbuke, usiwe yabisi. Ukisikia kuna mchongo Mkoani kapige fasta kisha rudi kwenye bezi yako.
8: Ukitaka kutoka haraka usipitwe na habari sahihi. Achana na masiasa, ugomvi wa wanawake. Wewe hakikisha tu unafuatilia habari zinazoweza kukuvusha. Mali Mpya, chimbo jipya, semina za maana, mikutano inayokutanisha watu wengi. Pia achana na mambo ya ndugundugu sijui flani nilisoma naye huko wapi. Kuwa na tabia za kiUS yani tafuta link za kimaslahi tu.
Haipiti muda utaitwa freemanso. Maana lazima utoboe.
Vijana mnafeli nini hapo jijini...
Pambana. Haki kisha Maneno yanakaa Nyuma ya vitendo.umenipa kitu cha thamani sana MWENYEZI MUNGU akubariki nitafanyia kazi japo sipo Dar siku zote Dar salama
nilishajaribu nikaona inafanya kazi tabu kuna mazingira nimejibweteka! wakati natoka dar nakuja dodoma nilisema lazima niwe na shamba la zabibu na ndani ya miezi mitatu nikalipata kwa shillingi 150,000/-Pambana. Haki kisha Maneno yanakaa Nyuma ya vitendo.
unaonaje tukamtafuta tukamlipa japo buku tano kwa mchango wakeHuyo mama muuza figiri katema madini yalioyotuvusha wengi
80% ya watu nnaowajua marafiki wanaoishi dar wanaishi kwa kuunga unga mnooo...aku Dar ntaenda kusafisha macho kwakweli ...Mimi ni miongoni mwa wale tulioshindwa kuishi Dar ilikuwa chupu chupi nikose hata nauli sema machale yalinisaidia
Saa hii nina maisha japo sio kivile, ila huwezi linganisha na nilivyokuwa Dar
Japo hapa nilipo mimi naona ni pazuri ila kuna watu wanapakimbia wengine wapo Dar na wanasema hawawezi kurudi sababu huko Dar nilipokimbia wao wamefanikisha
Hapa ndo naamini MAISHA NI POPOTE huenda mimi Dar sikuwa na utayari na wao hawakuwa na utayari hapa nilipo
Usimshauri mtu kuwa sehemu fulani kuna maisha kisa wewe umetoboa
Njoo dar nawewe utajirike mkuu[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Mama mmoja muuza mchicha Rafiki yangu aliwahi kuniambia. Jiji la Dar es Salaam halitaki mtu mvivu au mgonjwa. Ukishinda hapo huwezi kulala njaa.
Kuna huyu Muha na yeye akaniambia alipofika DSM alianza kuishi kwenye karavati maeneo ya external hadi alipotoboa. Leo ananyumba Kubwa tu.
DSM ndio unapatia michongo ya nchi nzima.
Huyu yeye alikuwa houseboy wa Mchungaji fulani. Leo ni graphics designer ambaye hajui hata adobe Photoshop inafananaje. Yeye anachojua nani anataka nini na yeye anahakikisha anapata solution ya anaychotaka hata kwa Kukodi designers. Haishiwi huyu mchicha.
Huyu ananiambia siku anafika DSM alitaka kulia. Kila anakopita anaona ni mahela tu yako nje nje.
Huyu alikuwa form four failure, alipokutana na wachina Leo bila digrii ni construction engineer anayesimamia matechnician na miradi mikubwa ya hao wachina bila kuharibu.
Core values za mdareslam aliyetoka kwa mujibu wa mama muuza figiri, mchicha, mnamfu, gwasi na tembere ni
1: Usiwe mvivu, amka MAPEMA.
2: Hakikisha huuguiugui. Linda afya.
3: Usiwe teketeke force mambo hadi yawe.
4: usiwe na kinyaa au aibu wala usiogope mtu.
5: uwe na utayari kufanya chochote kwa schedule yoyote.
6: usiongeeongee sana, piga kazi kimya kimya.
7: Unyumbuke, usiwe yabisi. Ukisikia kuna mchongo Mkoani kapige fasta kisha rudi kwenye bezi yako.
8: Ukitaka kutoka haraka usipitwe na habari sahihi. Achana na masiasa, ugomvi wa wanawake. Wewe hakikisha tu unafuatilia habari zinazoweza kukuvusha. Mali Mpya, chimbo jipya, semina za maana, mikutano inayokutanisha watu wengi. Pia achana na mambo ya ndugundugu sijui flani nilisoma naye huko wapi. Kuwa na tabia za kiUS yani tafuta link za kimaslahi tu.
Haipiti muda utaitwa freemanso. Maana lazima utoboe.
Vijana mnafeli nini hapo jijini...
Baby! Wangari Maathai kwani uwongo? mbona umenicheka... 🤣🤣🤣Huu ni ukweli naujua tangu zamani sana.. mara ya kwanza kuja Dar ni 2010 nilipokuja kuanza elimu ya chuo. Nilipoona watu wanauza maji barabarani na wanapata kula na kulipa kodi, nili conclude kwamba Dar ni mkoa wenye fursa za kutajirika kwa asiye mvivu.
Kwa miaka karibu saba sasa nimeshuhudia vijana wengi nnaofahamiana nao wakitoka mkoani wakiwa hawana chochote lakini leo wana maisha ya tofauti kabisa.
Ukipinga hili bandiko labda uwe sio muelewa wa utafutaji