Asilimia kubwa ya wanaozamia Dar kutafuta maisha wanafanikiwa

Usisahau ndumba
 
Baby! Wangari Maathai kwani uwongo? mbona umenicheka... 🤣🤣🤣
Nimecheka line ya mwisho..hamjajua tu siri za mikoani..nasema hamjajua...huko kila kitu watu kibao wanafanya...hahaa..
Dar watu wanalipwa kwa kifanya kaZi vice versa na mikoani...hela inakufuata ukiitengenezea njia anywys tutakuja dar tukae meza 1
 
Mie naishi na hii slogan zaidi..
 
Nimecheka line ya mwisho..hamjajua tu siri za mikoani..nasema hamjajua...huko kila kitu watu kibao wanafanya...hahaa..
Dar watu wanalipwa kwa kifanya kaZi vice versa na mikoani...hela inakufuata ukiitengenezea njia anywys tutakuja dar tukae meza 1
Karibu.. za mkoani changanya na za Dar.. mambo yatakuwa safi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…