Asilimia kubwa ya Wanaume wa Geita na vitongoji vyake hawajafanyiwa Tohara

RED BULL

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2018
Posts
697
Reaction score
579
Salam wote.

Kuna taarifa kuwa asilimia kuwa asilimia kubwa ya wanaume wa ukanda wa mwanza hasa Geita hawajafanyiwa tohara. Utafiti unasema kuwa, tohara inapunguza maambukizi ya HIV kwa 60%.

Wanaume wa Geita hebu fungukeni je ni kweli hii?
Kama ni kweli inabidi mjitahidi mfanyiwe na kutokufanya tohara si nzuri kiafya.

Tafuta zaidi ushauri wa madaktari.
Nadhani kuna ushuhuda pia.
 
vipi chattle? na koromije?
 
Hao hawaitwi wanaume ndugu yangu. Hembu watafutie jina lingine usituchafue na sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…