Asilimia kubwa ya Wanaume wa Geita na vitongoji vyake hawajafanyiwa Tohara

Mtoa mada wewe ni ke au me??
Kama ni ke basi ni halali yako lkn km ni me mh unatia kinyaa kujadili govi la dume wenzio
Mimi ni me! Nakujua ulivyo kapeace huwa huna staha na maneno Yako. Hii ni elim kwa wahusika na wanapaswa wajue hilo. Wengine wana Watoto humu na wanatarajia pia kupata Watoto wa kiume hivyo lazima kufikisha ujumbe au kukumbusha.
 
dunia simama nishuke yeleuwiiiii kwa hiyo ulikuwa unawachungulia mmoja baada ya mwingine eti??? Unatia kinyaa kujadili nyuchi za madume wenzio
 
Back
Top Bottom