Asilimia kubwa ya wanaume wanaojielewa wapo PM

Najuaa itachoma kama pasi lakini mkubali mkatae wanaume wanaojielewaa na wa maana wapo PM ,sio hawa nguchiro tunaokimbizana nao na kuchambana nao kwenye thread,

mwanaume 24/7 yupo active ukipost kitu kacomment na kuandika shombo sijui hata kama anapataga muda wa kufuaa boxer ila hawa wa PM wapo jf tangu miaka na miaka na hawana tym ya kucomment wala nini Inshort wapo hapa kusocialise alafu umri wao kuanziaa 35 na kuendeleaa no blah blah

Jaman nilikuwa nshasema sitajibu message za Pm bt kusema ukweli Pm kutamu yaan kuna wababa wana maneno matamu ya kunipa moyo
Watu wanaojielewa na kutoaa ushauri wa maaana/wa maisha na namna ya kudeal na watu tofauti kutoka sehemu mbali mbali esp wa jf

Jaman kumbe nilikuwaa nakosa mengi eeehe kwa kutowajibu ,yaan mpkaa naanza kujutaa (kama nawaona wenye mabwana zao watakavyo nuna)

Yaaan mtu anakusifiaaa utasema sijui nn jomoni mpka unahisi ndo mara ya kwanza kusikiaa yale maneno(wanawake tunapenda maneno matamu sio makavu)

Lucky enough Pm imenipatiaa mtumishi wa bwana anayenipeleka vacation easter, kwa kweli im not lucky im blessed (kaniambiaa anataka nikatoe stress za jf)
Mungu anaipe nini mimi Mambembe?? guniaa la chawa nijikune?wacha nikale raha miyee.....

Bila kusahau kuna notification ya mtu mmoja nilikuwa namuheshimu sana nimeionaa eti Anasema alikuwa ananisubiri nitamfate Pm daaah nimesikitikaa saaanaa,yaan mtu kisa kumsifiaaa akadhani kuwa nataka kumuibiaa/kumtapeli yani nilivyoona notifaction ya comment yake nilimshusha saana anyway life must goes on mnazidi kunikomaza kiakili....

Pm is my new home.........and im there to stay

Mambembe the unstoppable
The queen of clapback
Ikikuuma chomoa
Mkuu kumbuka kulipia tangazo la biashara yako!
 
Kilaa mtu na maana yake bt mi sikumaanishaa hivyo read btn lines
Hahahaa! naona Unajaribu kukikimbia kimvuli chako eeh?!
Hii ni JF na sio Fesibuku tambua hilo kwanza,
Wakubwa tumeshaelewa lengo la hii thd yako,ila umelipia hili tangazo la kuita wanaume PM?
 
Hao tuliopo pm ndo hao hao tuliopo humu hadharani kwa ID nyingine.
 
Najuaa itachoma kama pasi lakini mkubali mkatae wanaume wanaojielewaa na wa maana wapo PM ,sio hawa nguchiro tunaokimbizana nao na kuchambana nao kwenye thread,

mwanaume 24/7 yupo active ukipost kitu kacomment na kuandika shombo sijui hata kama anapataga muda wa kufuaa boxer ila hawa wa PM wapo jf tangu miaka na miaka na hawana tym ya kucomment wala nini Inshort wapo hapa kusocialise alafu umri wao kuanziaa 35 na kuendeleaa no blah blah

Jaman nilikuwa nshasema sitajibu message za Pm bt kusema ukweli Pm kutamu yaan kuna wababa wana maneno matamu ya kunipa moyo
Watu wanaojielewa na kutoaa ushauri wa maaana/wa maisha na namna ya kudeal na watu tofauti kutoka sehemu mbali mbali esp wa jf

Jaman kumbe nilikuwaa nakosa mengi eeehe kwa kutowajibu ,yaan mpkaa naanza kujutaa (kama nawaona wenye mabwana zao watakavyo nuna)

Yaaan mtu anakusifiaaa utasema sijui nn jomoni mpka unahisi ndo mara ya kwanza kusikiaa yale maneno(wanawake tunapenda maneno matamu sio makavu)

Lucky enough Pm imenipatiaa mtumishi wa bwana anayenipeleka vacation easter, kwa kweli im not lucky im blessed (kaniambiaa anataka nikatoe stress za jf)
Mungu anaipe nini mimi Mambembe?? guniaa la chawa nijikune?wacha nikale raha miyee.....

Bila kusahau kuna notification ya mtu mmoja nilikuwa namuheshimu sana nimeionaa eti Anasema alikuwa ananisubiri nitamfate Pm daaah nimesikitikaa saaanaa,yaan mtu kisa kumsifiaaa akadhani kuwa nataka kumuibiaa/kumtapeli yani nilivyoona notifaction ya comment yake nilimshusha saana anyway life must goes on mnazidi kunikomaza kiakili....

Pm is my new home.........and im there to stay

Mambembe the unstoppable
The queen of clapback
Ikikuuma chomoa
Mwanaume hapimwi kwa pm hata siku moja alafu wako aina nying
 
Hahahaa! naona Unajaribu kukikimbia kimvuli chako eeh?!
Hii ni JF na sio Fesibuku tambua hilo kwanza,
Wakubwa tumeshaelewa lengo la hii thd yako,ila umelipia hili tangazo la kuita wanaume PM?

Mzee sikuizi ni mambo ya online marketing, una purchase online wateja wapo.
 
Asanten sana wana jf hasa wanaume ...ten-sana-wana-jf-hasa-wanaume-wa-umu.1419610/
 
Yani niingie PM nikatongoze ID fake ambayo sijui kama uyo mtu ni wa kike kweli? Huo utakua ukichaa wa kiwango cha lami.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji23]
 
Back
Top Bottom