Asilimia kubwa ya wanaume wanaojielewa wapo PM

Huyo The List unamtaja sana..au wewe ndio The List unatuchezea Erick??
Haki ya Mungu we kaka unakaribiaaa kudata [emoji16][emoji16][emoji16]mara useme the list alikuambiaa sasa hivi unasema mimi ndo the list [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji3][emoji3][emoji3] nimecheka sana kumbe watu washamshtukia.. Juzi tu nilimquote kumwambia ye ni mwanaume akatoa povu la pluto
 
Hahahha hawana tym za kuja kuchunguliaaa huku uwani wapo sebuleni[emoji23][emoji23][emoji23]
 
It was hamnipi tena ban kwa kushindana na nyie najuaa nyie ni taasisi kubwa ya kushambuliaa watu bt this tym around hamnipati
 
[emoji3][emoji3][emoji3] nimecheka sana kumbe watu washamshtukia.. Juzi tu nilimquote kumwambia ye ni mwanaume akatoa povu la pluto
Juzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukiwa muongonuwe na kumbukumbu mwanaume suruali ww ....hao unao waona hapo wanaosema mm mwanaune ndonwalionisababishiaa ban na jana ndo limeishaa hiyo juzi ya wap?? Shame on u ....
 
No cc this tym... Kwel mambembe aka otieno ni noma
Siisii inategemea mkuu si unaona hapo mwanzo [emoji115] [emoji115] [emoji115] nimemtaja thou sijaweka neno cc... Weeee naachaje kwa mfano it's automatic hata nikisahau inajiweka teh [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]



Cc Smart911
 
Hauna tofauti na wale wa badoo wote mnapenda PM.
 
Achana nao yaaan mtu mpaka anafunguaa new account kudeal na mm ....mimi ni jeshi la mtu mmojaa waambiee
 
Hehehe apo sawa mkuu.
 
Hauna tofauti na wale wa badoo wote mnapenda PM.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hebu niache leo ndo mara ya kwanza kwenda huko pm ndo pamenivutiaa sanaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hebu niache leo ndo mara ya kwanza kwenda huko pm ndo pamenivutiaa sanaa
Aya basi njoo PM nikupe maneno matamu mtoto mzuri , kacute mwenyewe.
 
Erick Otieno ndani ya nyumba
Naonaa mmeitana kama kawaida yenu bado wale dada zenu wakujichekeshaa kama gari lililotiwaa funguo muanze kunishambuliaa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…