EIFFEL
Member
- Jul 20, 2018
- 34
- 408
Habari za muda.
Polen na majukum ya kujenga Taifa, kwa sisi tuliolala, tutawasaidia kupaka rangi huko mbelen, maisha yanaenda.
Back to the Topic.
Iko hivi, naleta huu uzi kutokana na uzoefu nliopata mimi binafsi na kwa watu walionzunguka, jamii.
Nimenotice kitu cha kushangaza sana, kwa hii miaka ya hivi karibu, sijui ni ugumu wa maisha, kupenda kitonga au kukataa tamaa na maisha.
WANAWAKE.
Labda niwaulize swali mmoja tu, nini kinawapelekea kutaka kuolewa ili kupata unafuu wa maisha? Ama kulazimisha ndoa kwa haraka sana?
Kama mmenotice limetokea wimbi kubwa sana la wanawake ambao wako desperate sana na ndoa, wako tayari kufanya/kumfanyia chochote mwanaume aliekidhi vigezo wanavyovitaka wao ili tu waolewe nae.
Nina mifano hai, kutoka kwa wanawake wenyewe wakikiri kwa vinywa vyao, kua wapo tayari kuolewa na mwanaume mwenye hadhi/pesa ili tu maisha yao yaende vizuri, hayo mengine watavumilia huko huko.
Madhara ya haya mnajua yamekua ni yapi?
1. Kutodumu kwa ndoa
2.Ongezeko la watoto wasiopata malezi ya baba
3.Ongezeko la wimbi la udangaji
4.Ukatili wa kijinsia.
5.Vifo vya wivu wa kimapenzi.
Labda nseme hivi, wanawake wengi sana, hasa kutokana na ugumu wa maisha ya sasa, hawana ile ari ya upambanaji tena, hasa hawa mabinti wa mjini, wanapenda maisha ya ghali ambayo hata wao wenyewe hawawezi kuyamudu, ukikutana na binti mpambanaji atapambana atafika hatua akiona mambo hayaendi, anachoka, anakata tamaa, mwisho wa siku anasema bora aolewe tu atue mzigo.
Hujaja kwa wale ambao hawana issue za maana za kufanya, hawana kipato cha kueleweka, wanachagua kazi, na wanataka kuishi maisha ya kistar, hawa ndo jipu kabisa.
Mwisho wa siku nao utaona wamefika hatua anaona hana kitu chochote mkonon, cha umiliki wake, alichokua nacho pengine ni uzuri wake, matokeo yake anatafuta mwanaume wa kumpa unafuu wa maisha huku yeye akiendelea kufanya yake.
Jaman, naelewa maisha ni magumu, lakin mfahamu maisha magumu yapo kwa wote, wanawake na wanaume, lakin hili swala la wanawake kutopenda kujituma limekua too much.
Yan kwa sasa, mwanamke akipata mwanaume ni kama ndo amekua mtatuzi wa shida zake zote, wenyewe wanasema "He has to care", What?
Hivi mnaelewa maana ya mtu kukjali?
Sio umbebeshee shida zako zote kama vile wewe huna mikono na miguu ya kukfanya upambanie walau kitu kidogo cha kukfanya uishi maisha yako.
Sio wote, ila wadada naombeni niwaambie tu hili, wanaume sasa tumeshtuka.
Msipobadilika na sisi hatutobadilika.
Kama mnatafuta unafuu wa maisha kwa kutaka kuingia kwenye ndoa na wanaume wenye uwezo mzuri wa kiuchumi, mtaishia kua vipozeo wao bila hata nyie wenyewe kujijua na hatutowaambia, tutaendelea kuwadanganya mpaka akili zenu zikae sawa.
Wanaume wako smart sana, mbaya zaidi hua hawaongei, atakusoma tu, na akiona wewe sio wa kuweka ndan, atajipigia mpaka achoke anakutupa kule.
Jifunzeni namna ya kuadd value kwa mtu ama ndoa, sio unaleta tu sura yako nzuri na matacooooowwww yako ukafikiri maisha ndo umeyamaliza, wanaume tunakinai mapema sana, tukiona una mwili wako tu kwa ajili ya kuoffer, hatutokuambia, ila pia hatutokuweka ndan, na ikitokea ukawekwa ndan, subir uone matokeo yake.
Wanawake, acheni kupenda vitonga, maisha ya sasa yanahitaji upambanaji, pambana kwa sehem yako ndogo tu, na mtu aone unajituma, hata siku akikuweka ndan utachukua majukum yako kama mama, lakin anakua anajua ameweka jembe ndan.
Sio unataka kila kitu mwanaume akufanyie, wewe, ndugu zako, marafiki zako, shida zote yeye ndo awe mtatuzi, niwaambie tu, tutaendelea kujipigia na mtaendelea kuwaita wanaume wote ni Dogs.
Nimemaliza.