Asilimia kubwa ya wanawake wanaolewa kutafuta unafuu wa Maisha

Inategemea na wanawake unaokutana nao ndo maana umewatolea hao mfano.

Lakini pia kila mtu ale anachokitaka. Ndio mimi siwezi kuwa na mwanaume ambae sijampenda au hana vigezo eti kisa ndoa.

Hata na nyie mna vigezo vyenu ndo maana hamuoi mwanamke yeyote, mara mnataka mwenye chura, mara mwenye miguu ya bia, mara awe natural hivyo vyote ni vigezo moyo unataka.
Je kama ndo hivyo kwa nini na sisi tusichague tunapotaka haijalishi tunataka unafuu wa maisha au la!
Hakuna mtu anaependa shida kila mwanaume au mwanaume ana vigezo na matamanio yake.

Mimi ni mchapa kazi visent vya kula sivikosi trust mwanaume ambae hana maisha anaishi kwa kubangaiza hapana.
Mkitaka mseme tunataka unafuu wa maisha hiyo iko wazi hakuna cha kupinga uko sahihi.

Niwasihi wanaume tafuteni pesa sisi ni wasaidizi wenu, mkitoa ada sisi tunasaidia kununua chakula na matumizi madodo madogo ya nyumbani na urembo wa nyumba.yaliyobaki ni majukumu yenu. Hakuna anaependa shida.

Dear mleta mada uko sahihi sana yaani tunataka mwanaume mchapa kazi kurahisisha unafuu wa maisha.

N.b nafanya kazi hela ya matumizi yangu ninayao ila na ya mwanaume naitaka.

Niko zangu chattle nazoom baraza jipya nawaza huyu kigogo mbona siku hizi hatupi info kabla kama zamani, huu mkeka si ibilibidi tuujuwe siku mbili kabla? Inashangaza sana. Huyu jamaa kastaafu kazi?
Hujamwelewa mtoa mada, shida si kuolewa na mwanaume mwenye pesa, shida ni We mwanamke unaolewa na mwanaume usiempenda, kisa hela zake luckyline
 
Swali zuri sana.
Nakupa takwimu zilizo hai, sio uongo wala ubabaishaji.

Unajua kwamba kwa maisha yetu ya kibongo, asilimia kubwa ya vijana wengi wa kitanzania wanaanza kua well off kiuchumi (Kipato cha uhakika/hela) kuanzia miaka 30 na zaidi?

Lakin pia unafahamu kwamba, vijana wengi wa kitanzania waliojistabilize kiuchumi wa miaka hio wanakua katika mchakato wa kuoa ama wameshaoa?

Unajua madhara ya hii ni nin?

Kuna idadi kubwa ya wanawake kuanzia umri wa miaka 18-40 inakua inahitaji wanaume wa design hii, ana maisha yake binafsi, mpambanaji, pengine ana sehem yake binafsi anaishi, ana kausafiri kake, the usual, vitu ambavyo nyie wanawake hua mnapenda kuona mwanaume anavyo.

Sasa wewe nambie, kwa hayo mambo maTANO nliyoyataja hapo juu, una hisi yataisha?

Maana unakuta mwanaume m1 anagombaniwa na wanawake 20 huko.
Wote wanasema ndo mwanaume wanayemtaka, amekidhi vigezo.
Nyie 19 unafikiri nini kitatokea kwenu?
Maana mwisho wa siku ntaoa mmoja ambaye naona kwangu anafaa, nyie 19 mliobaki sitowalazia damu lakin sitowaoa.

Sijui unaelewa nachojaribu kuongea hapa?

Bottom line, usimtegemee mwanaume kwa kila kitu, hata kama unakitu chako kidogo, iwe ni kazi au biashara inatosha.
Si hitaji pesa yako, lakin inanipa moyo kuona kwamba nina mwanamke anayejielewa na anafahamu nini anafanya.
Hata nkikuweka ndan, pamoja na mm kuchukua majukum yote kama Mme, lakin nakua nafahamu sipo na mzigo ndan.

Unanielewa?
 
Habari za muda.
Polen na majukum ya kujenga Taifa, kwa sisi tuliolala, tutawasaidia kupaka rangi huko mbelen, maisha yanaenda.

Back to the Topic.
Iko hivi, naleta huu uzi kutokana na uzoefu nliopata mimi binafsi na kwa watu walionzunguka, jamii.

Nimenotice kitu cha kushangaza sana, kwa hii miaka ya hivi karibu, sijui ni ugumu wa maisha, kupenda kitonga au kukataa tamaa na maisha.

WANAWAKE.
Labda niwaulize swali mmoja tu, nini kinawapelekea kutaka kuolewa ili kupata unafuu wa maisha? Ama kulazimisha ndoa kwa haraka sana?

Kama mmenotice limetokea wimbi kubwa sana la wanawake ambao wako desperate sana na ndoa, wako tayari kufanya/kumfanyia chochote mwanaume aliekidhi vigezo wanavyovitaka wao ili tu waolewe nae.

Nina mifano hai, kutoka kwa wanawake wenyewe wakikiri kwa vinywa vyao, kua wapo tayari kuolewa na mwanaume mwenye hadhi/pesa ili tu maisha yao yaende vizuri, hayo mengine watavumilia huko huko.

Madhara ya haya mnajua yamekua ni yapi?
1. Kutodumu kwa ndoa
2.Ongezeko la watoto wasiopata malezi ya baba
3.Ongezeko la wimbi la udangaji
4.Ukatili wa kijinsia.
5.Vifo vya wivu wa kimapenzi.

Labda nseme hivi, wanawake wengi sana, hasa kutokana na ugumu wa maisha ya sasa, hawana ile ari ya upambanaji tena, hasa hawa mabinti wa mjini, wanapenda maisha ya ghali ambayo hata wao wenyewe hawawezi kuyamudu, ukikutana na binti mpambanaji atapambana atafika hatua akiona mambo hayaendi, anachoka, anakata tamaa, mwisho wa siku anasema bora aolewe tu atue mzigo.

Hujaja kwa wale ambao hawana issue za maana za kufanya, hawana kipato cha kueleweka, wanachagua kazi, na wanataka kuishi maisha ya kistar, hawa ndo jipu kabisa.
Mwisho wa siku nao utaona wamefika hatua anaona hana kitu chochote mkonon, cha umiliki wake, alichokua nacho pengine ni uzuri wake, matokeo yake anatafuta mwanaume wa kumpa unafuu wa maisha huku yeye akiendelea kufanya yake.

Jaman, naelewa maisha ni magumu, lakin mfahamu maisha magumu yapo kwa wote, wanawake na wanaume, lakin hili swala la wanawake kutopenda kujituma limekua too much.

Yan kwa sasa, mwanamke akipata mwanaume ni kama ndo amekua mtatuzi wa shida zake zote, wenyewe wanasema "He has to care", What?

Hivi mnaelewa maana ya mtu kukjali?
Sio umbebeshee shida zako zote kama vile wewe huna mikono na miguu ya kukfanya upambanie walau kitu kidogo cha kukfanya uishi maisha yako.

Sio wote, ila wadada naombeni niwaambie tu hili, wanaume sasa tumeshtuka.
Msipobadilika na sisi hatutobadilika.
Kama mnatafuta unafuu wa maisha kwa kutaka kuingia kwenye ndoa na wanaume wenye uwezo mzuri wa kiuchumi, mtaishia kua vipozeo wao bila hata nyie wenyewe kujijua na hatutowaambia, tutaendelea kuwadanganya mpaka akili zenu zikae sawa.

Wanaume wako smart sana, mbaya zaidi hua hawaongei, atakusoma tu, na akiona wewe sio wa kuweka ndan, atajipigia mpaka achoke anakutupa kule.

Jifunzeni namna ya kuadd value kwa mtu ama ndoa, sio unaleta tu sura yako nzuri na matacooooowwww yako ukafikiri maisha ndo umeyamaliza, wanaume tunakinai mapema sana, tukiona una mwili wako tu kwa ajili ya kuoffer, hatutokuambia, ila pia hatutokuweka ndan, na ikitokea ukawekwa ndan, subir uone matokeo yake.

Wanawake, acheni kupenda vitonga, maisha ya sasa yanahitaji upambanaji, pambana kwa sehem yako ndogo tu, na mtu aone unajituma, hata siku akikuweka ndan utachukua majukum yako kama mama, lakin anakua anajua ameweka jembe ndan.

Sio unataka kila kitu mwanaume akufanyie, wewe, ndugu zako, marafiki zako, shida zote yeye ndo awe mtatuzi, niwaambie tu, tutaendelea kujipigia na mtaendelea kuwaita wanaume wote ni Dogs.

Nimemaliza.
Kama hutaki mke. Endelea na punyero
 
You are Genius Brother
 
Mwenye kisu kikali ndio mla nyama that's nature.. hata Gorillas dating Yao mwanamke huchukuliwa na the strongest Gorilla..[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna asiyependa kuamka ukiwa na uhakika wa breakfast, lunch na dinner. Matibabu hospital tena bila kuwaza gharama za vipimo na usafiri wake private. Ukiweza kutimiza haya hata ukiwa na miaka 80 unaoa binti wa miaka 20.
Hahahahaha bora umekuwa muwazi tu😅
 
Naomba nichangie kidogo kwenye hili na mm mwenyewe nikiwa mfano mzr wa wanawake wa namna hii.
Kwanza nikuunge mkono mtoa mada maana kiuhalisia Hali ni mbaya sana katika jamii yetu na idadi ya masingle mother ni yakuogofya na inazid kuongeeka kila paitwapo Leo na hii ni matokeo au athari ya wadada wenye hizi Tabia ya kupenda kitonga na ongezeko lao limetufanya wengi tukate tamaa kabisa ya kuoa na waliobaki wanaenda na slogan ya kuoa cheo na mke yaani namaanisha nowadays watu wanaoa wanawake waliomakazini km kigezo cha kwanza alaf vingine ndio vinafuata maana apo kasi ya kudanganywa unapendwa au kukuloga ili uoe wapate nafuu ya maisha inapungua.
Mwaka huu mpya wa 2022 wanaume tumekuja na slogan mpya ambayo ni "kwakua wanawake awapendi wanaume ambao hawana ela basi na sisi atutaki wanawake wasio na shuguli ya kufanya na kipato kinachoeleweka" this means kama una matako tu na sura yako uliyoichubua chubua ukizan ndio tiketi sisi tutashika hayo matako tutapiga na ikiwezekana kwa mpalange tutaenda na ndoa sahau kabisa.
Mwisho, wanawake fanyeni kazi jitumeni mpate ela na sio kutafuta wanaume wenye ela maana pesa sio sexul transmited.
Naomba kuwasilisha.
 
Sorry mm ni mfano wa wanaume ambao ni muhanga wa hii tabia mm ni me sio ke wakuu
 
Na kamsemo kao ka siku hizi "tafuta Ela" kamekaa kiudangaji Sana...wanadhani katika mapenzi ndio kila kitu..

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nakupa takwimu zilizo hai, sio uongo wala ubabaishaji.

Unajua kwamba kwa maisha yetu ya kibongo, asilimia kubwa ya vijana wengi wa kitanzania wanaanza kua well off kiuchumi (Kipato cha uhakika/hela) kuanzia miaka 30 na zaidi?

Lakin pia unafahamu kwamba, vijana wengi wa kitanzania waliojistabilize kiuchumi wa miaka hio wanakua katika mchakato wa kuoa ama wameshaoa?

Unajua madhara ya hii ni nin?

Kuna idadi kubwa ya wanawake kuanzia umri wa miaka 18-40 inakua inahitaji wanaume wa design hii, ana maisha yake binafsi, mpambanaji, pengine ana sehem yake binafsi anaishi, ana kausafiri kake, the usual, vitu ambavyo nyie wanawake hua mnapenda kuona mwanaume anavyo.

Sasa wewe nambie, kwa hayo mambo maTANO nliyoyataja hapo juu, una hisi yataisha?

Maana unakuta mwanaume m1 anagombaniwa na wanawake 20 huko.
Wote wanasema ndo mwanaume wanayemtaka, amekidhi vigezo.
Nyie 19 unafikiri nini kitatokea kwenu?
Maana mwisho wa siku ntaoa mmoja ambaye naona kwangu anafaa, nyie 19 mliobaki sitowalazia damu lakin sitowaoa.

Sijui unaelewa nachojaribu kuongea hapa?

Bottom line, usimtegemee mwanaume kwa kila kitu, hata kama unakitu chako kidogo, iwe ni kazi au biashara inatosha.
Si hitaji pesa yako, lakin inanipa moyo kuona kwamba nina mwanamke anayejielewa na anafahamu nini anafanya.
Hata nkikuweka ndan, pamoja na mm kuchukua majukum yote kama Mme, lakin nakua nafahamu sipo na mzigo ndan.

Unanielewa?
Big mind [emoji115]
 
Ungekua wewe nimwanamke ungekubali kuolewa na mwanaume asie na ela??
Kuna siku nilikuwa napiga stori na Bosi wangu Ni Mzee wa Makamo.... Ni mtu mzima kidogo. Alisema .... Yeye anawashangaa Sana wanawake wanaokubali kuolewa na wanaume wasio na Pesa. Alisisitiza na kurudia Mara kadhaa.

Kwa kweli ilinichukua muda sana kuelewa hiki alichoongea......🤣😅😂
 
Kuna siku nilikuwa napiga stori na Bosi wangu Ni Mzee wa Makamo.... Ni mtu mzima kidogo. Alisema .... Yeye anawashangaa Sana wanawake wanaokubali kuolewa na wanaume wasio na Pesa. Alisisitiza na kurudia Mara kadhaa.

Kwa kweli ilinichukua muda sana kuelewa hiki alichoongea......[emoji1787][emoji28][emoji23]
Alikumbuka kukuambia pia kwamba hao wanaume mnaowataka wenye hela wapo Wachache ukilinganisha na idadi yenu mnaowataka hao wanaume?

Mlivyo wa binafsi, utasiskia, mwenye bahati yake ndo ataolewa.
Basi pia mkubali kua lazima hao hao wanaume wenye hela wawapange wengi wenu na kuwafanya vile wao wanavyotaka, na mwisho wa siku anaolewa m1 tu kati yenu.

Hasara kwa nan?
 
Back
Top Bottom