Asilimia kubwa ya wanawake wanaolewa kutafuta unafuu wa Maisha

Pole sana, mambo yao waachie wenyewe...
 
Hujamwelewa mtoa mada, shida si kuolewa na mwanaume mwenye pesa, shida ni We mwanamke unaolewa na mwanaume usiempenda, kisa hela zake luckyline
 
Swali zuri sana.
Nakupa takwimu zilizo hai, sio uongo wala ubabaishaji.

Unajua kwamba kwa maisha yetu ya kibongo, asilimia kubwa ya vijana wengi wa kitanzania wanaanza kua well off kiuchumi (Kipato cha uhakika/hela) kuanzia miaka 30 na zaidi?

Lakin pia unafahamu kwamba, vijana wengi wa kitanzania waliojistabilize kiuchumi wa miaka hio wanakua katika mchakato wa kuoa ama wameshaoa?

Unajua madhara ya hii ni nin?

Kuna idadi kubwa ya wanawake kuanzia umri wa miaka 18-40 inakua inahitaji wanaume wa design hii, ana maisha yake binafsi, mpambanaji, pengine ana sehem yake binafsi anaishi, ana kausafiri kake, the usual, vitu ambavyo nyie wanawake hua mnapenda kuona mwanaume anavyo.

Sasa wewe nambie, kwa hayo mambo maTANO nliyoyataja hapo juu, una hisi yataisha?

Maana unakuta mwanaume m1 anagombaniwa na wanawake 20 huko.
Wote wanasema ndo mwanaume wanayemtaka, amekidhi vigezo.
Nyie 19 unafikiri nini kitatokea kwenu?
Maana mwisho wa siku ntaoa mmoja ambaye naona kwangu anafaa, nyie 19 mliobaki sitowalazia damu lakin sitowaoa.

Sijui unaelewa nachojaribu kuongea hapa?

Bottom line, usimtegemee mwanaume kwa kila kitu, hata kama unakitu chako kidogo, iwe ni kazi au biashara inatosha.
Si hitaji pesa yako, lakin inanipa moyo kuona kwamba nina mwanamke anayejielewa na anafahamu nini anafanya.
Hata nkikuweka ndan, pamoja na mm kuchukua majukum yote kama Mme, lakin nakua nafahamu sipo na mzigo ndan.

Unanielewa?
 
Kama hutaki mke. Endelea na punyero
 
You are Genius Brother
 
Mwenye kisu kikali ndio mla nyama that's nature.. hata Gorillas dating Yao mwanamke huchukuliwa na the strongest Gorilla..[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna asiyependa kuamka ukiwa na uhakika wa breakfast, lunch na dinner. Matibabu hospital tena bila kuwaza gharama za vipimo na usafiri wake private. Ukiweza kutimiza haya hata ukiwa na miaka 80 unaoa binti wa miaka 20.
Hahahahaha bora umekuwa muwazi tu😅
 
Naomba nichangie kidogo kwenye hili na mm mwenyewe nikiwa mfano mzr wa wanawake wa namna hii.
Kwanza nikuunge mkono mtoa mada maana kiuhalisia Hali ni mbaya sana katika jamii yetu na idadi ya masingle mother ni yakuogofya na inazid kuongeeka kila paitwapo Leo na hii ni matokeo au athari ya wadada wenye hizi Tabia ya kupenda kitonga na ongezeko lao limetufanya wengi tukate tamaa kabisa ya kuoa na waliobaki wanaenda na slogan ya kuoa cheo na mke yaani namaanisha nowadays watu wanaoa wanawake waliomakazini km kigezo cha kwanza alaf vingine ndio vinafuata maana apo kasi ya kudanganywa unapendwa au kukuloga ili uoe wapate nafuu ya maisha inapungua.
Mwaka huu mpya wa 2022 wanaume tumekuja na slogan mpya ambayo ni "kwakua wanawake awapendi wanaume ambao hawana ela basi na sisi atutaki wanawake wasio na shuguli ya kufanya na kipato kinachoeleweka" this means kama una matako tu na sura yako uliyoichubua chubua ukizan ndio tiketi sisi tutashika hayo matako tutapiga na ikiwezekana kwa mpalange tutaenda na ndoa sahau kabisa.
Mwisho, wanawake fanyeni kazi jitumeni mpate ela na sio kutafuta wanaume wenye ela maana pesa sio sexul transmited.
Naomba kuwasilisha.
 
Sorry mm ni mfano wa wanaume ambao ni muhanga wa hii tabia mm ni me sio ke wakuu
 
Na kamsemo kao ka siku hizi "tafuta Ela" kamekaa kiudangaji Sana...wanadhani katika mapenzi ndio kila kitu..

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Big mind [emoji115]
 
Ungekua wewe nimwanamke ungekubali kuolewa na mwanaume asie na ela??
Kuna siku nilikuwa napiga stori na Bosi wangu Ni Mzee wa Makamo.... Ni mtu mzima kidogo. Alisema .... Yeye anawashangaa Sana wanawake wanaokubali kuolewa na wanaume wasio na Pesa. Alisisitiza na kurudia Mara kadhaa.

Kwa kweli ilinichukua muda sana kuelewa hiki alichoongea......🤣😅😂
 
Alikumbuka kukuambia pia kwamba hao wanaume mnaowataka wenye hela wapo Wachache ukilinganisha na idadi yenu mnaowataka hao wanaume?

Mlivyo wa binafsi, utasiskia, mwenye bahati yake ndo ataolewa.
Basi pia mkubali kua lazima hao hao wanaume wenye hela wawapange wengi wenu na kuwafanya vile wao wanavyotaka, na mwisho wa siku anaolewa m1 tu kati yenu.

Hasara kwa nan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…