Asilimia kubwa ya wanawake wanaolewa kutafuta unafuu wa Maisha

Wimbi kubwa sababu wanawake wanazaliwa wengi kuliko wanaume pili kwenye hao wanaume toa mashoga, tatu toa wasiotaka kuoa haya hapo mnabakia wachache sana
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] upo vizuri
 
Habari za muda.
Polen na majukum ya kujenga Taifa, kwa sisi tuliolala, tutawasaidia kupaka rangi huko mbelen, maisha yanaenda.

Back to the Topic.
Iko hivi, naleta huu uzi kutokana na uzoefu nliopata mimi binafsi na kwa watu walionzunguka, jamii.
Unawaonea wivu kwa jinsi wanavyopenda kamserereko?
 
Habari za muda.
Polen na majukum ya kujenga Taifa, kwa sisi tuliolala, tutawasaidia kupaka rangi huko mbelen, maisha yanaenda.

Back to the Topic.
Iko hivi, naleta huu uzi kutokana na uzoefu nliopata mimi binafsi na kwa watu walionzunguka, jamii.
The same your mother
 
"Baba Angumbwike akikata ringi tu Mali zote zangu hizi"
Ila kuna wanawake wanabahati nyie ,mweee,kuna jamaa etu nifamily Friend wetu,aiseee alimuomba mama amtafutie mfanyakazi miaka Saba iliyopita,nahuyo mfanyakazi anawatoto watatu kabla hajaja hapo kama housemaid,amefika hapo jamaa akauguza mkewe nasasa wanawatoto watatu,naamejenga ukweni,nanyumba mbili kamjengea,jamaa anastable economy sio Haba,nakamletea wafanyakazi wengine wakati yy alikuja kama mfanyakazi
 
Njaa Baya Sana Wengine Wanaolewa Sababu Umri Umekwisha Kata Anaingia Kwenye Ndoa Kukamilisha Ratiba Tu.
 
Brother Unaongea uhalisia wamtanzania Sana,kiufupi umefanya utafiti kabla hujaandika,by the way,huu kiukweli mchungu,wanawake wanajivunia Sana mwanaume mwenye stable economy,salio wengi wahapendi wanaume wakuhangaika nao kutimiza ndoto,wanahitaji ambae ashatimiza ndoto tyr Ambao wengi wao hua either wameshaoa au wako ktk michakato yakuoa,mwanamke mmoja Ila wao wako 100
 
Wanawake 80% wanafanya biashara ya miili yao kujipatia kipato.
Hawana mapenzi ya kawaida bali mapenzi ya pesa.

Wanaume tunaangalia uzuri na hisia za ngono,wao hata kibwego fulani tu,anazotaka pesa tu hata hisia za ngono hawana
 
Kimantiki kwenye ndoa mume ndio mwenye jukumu la kumuhudumia mkewe na moja ya sifa za mtu anayetakiwa kuoa ni kuwa na uwezo wa kumuhudumia mke bila kama huyo mwanamke ana kipato au lah.......Hali hiyo kikawaida ni kama inaonekana inampa unafuu wa maisha mwanamke......la hasha Bali ni katika utekelezaji wa majukumu ya mwanaume anayejua wajibu wake kwa mkewe......
 
Mkuu nakuelewa, mm sisemi kwamba sis wanaume tusichukue majukum yetu.
Mm naongelea mwanamke awe na uwezo wa kuadd value kwa mme/ndoa yake, sio kila kitu awe tegemezi kwa mmewe.
Kwako inaweza isiwe shida, lakin naomba tu nkuambie, dunia ya sasa imebadilika.
Rate ya Vifo vya wanaume vipo kwenye all time high.
Haya kesho umefariki, umemuacha mkeo na watoto, alikua anakutegemea wewe na watoto kwa kila kitu.

Unajua wataishi maisha ya aina gan wewe ukitoweka?
Wewe mwenyewe utakua na ushahidi tosha, unafahamu nini hua kinatokea kwenye familia nyingi pindi baba anapotoweka, hasa pale inapotokea yeye ndo alikua anategemewa kwa kila kitu.

Kuanzia mke hadi watoto, lazima wapitie maisha ya shida.
Fikiria unaacha watoto wa kike nyuma, unafikiri jamii itaawaonea huruma?
Kisa hawana Baba?
Mke wako je?

No way.
Ifike hatua tufikiri nje ya box mkuu, tupo karne ya 21, zama zimebadilika, hatuishi tena yale maisha ya wazazi wetu ama Babu zetu.
 
Hizi ni akili za kizamani kwenye dunia ya sasa ambapo corporates na serikali zinalazimishwa kuongeza nafasi za wanawake kwenye ajira na vyeo vya juu hawa wanawake watakuja kuwa na pesa hata kutuliko. Unakuta demu wako anaingiza 15m , wewe 8m. Utafanya jukumu gani ambalo yeye litamshinda? Hizi ni enzi za kutumia akili na siyo pesa tu. Shauri yenu.
 
Sawa mkuu.....
 
Mwanamke anayeolewa na mwanaume asiye na pesa basically huyo mume ndo wa level zake..

Wanawake wenye hela kuolewa na mwanaume asiye na hela inatokea very rarely.
 
Asikudanganye mtu akina Mama wameamka na wako vizuri sana kiuchumi. Naweza sema asilimia kubwa ya familia vijijini na kwa baadhi mijini zinaendeshwa na wanawake.

Inatupasa wanaume kuamka na kusimama kidete maana wengi wa wanawake wakipata kipato huleta jeuri.

Angalizo: Madanga wapo, na hawawezi kuisha maana hata kwenye maandiko tunasoma habari za wanawake walioishi maisha ya kwa kudanga au kufanya umalaya.

Eee Mwenyezi Mungu uturehemu na kurudisha umoja na upendo ktk ndoa, na kizazi chenye maadili
 
Mbavu zangu zinauma kwa kucheka🤣😂
 

Attachments

  • post_271238878_640907257056418_540914598253782611_n.mp4
    1.1 MB
Inahitajika “Financial independent “ kwa wanawake kwenye jamii.

Hii itasaidia kupima kama mwanamke anakupenda unconditionally au conditionally.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…