Asilimia kubwa ya wasichana wa Dar wenye elimu kuanzia Std 1 - 5 wana watoto

Asilimia kubwa ya wasichana wa Dar wenye elimu kuanzia Std 1 - 5 wana watoto

Cowman

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
1,715
Reaction score
3,158
Wakuu,

Nimeamua kufanya utafiti kwa Dar japo si rasmi kuhusu kwanini mabinti wengi tena wenye age ndogo ni masingle mother. Katika utafiti wangu nimegundua kuwa asilimia kubwa ya mabinti wa Dar tena wale wa Dar asilimia wana watoto tena wengine zaidi ya wawili. Hawa wengi wana age kati ya 19-27.

Wale mabinti waliotoka mikoani kuja kutafuta maisha Dar wao ni asilimia chache sana wana watoto. Nikajaribu pia kuchunguza ni nini chanzo cha tatizo nikagundua kuwa pia asilimia kadhaa ya hawa mabinti wamekua na kulelewa na single parent.

-Nimegundua pia wazazi wa Dar wakieletewa kesi za mimba hawapaniki kama wale wa mikoani (Jirani yetu aliwahi kumfukuza binti yake kisa amepata mimba tena akamwambia usikanyage kwangu hadi nimekufa).

-Mwisho, wazazi jitahidi sana kuwalea watoto wenu vizuri, watimizieni yale mahitaji madogo madogo kama vile kusuka na sio mbaya akamnunulia kasmart phone hata tecno inatosha. Vijana tukiamua kukubali majukumu ya mzazi lazima tutake kuwa baba ili kukamilisha lengo.
 
Wanawake wengi sasa wamejawa na tamaa wanataka kuishi maisha ambayo sio yao maisha ya instagram hivyo mwisho wasiku huishia kudandia wanaume za watu wenye mafanikio kwa tamaa zao
 
Kwann Umkimbie Mwanamke Ambae Amekuamin Kias Kwamba Amekubebea Mtt Na Kukutunzia kama

Ulikuwa Huna malengo Nae Usingefanya Nae Hilo Tendo Ambalo Leo Hii Mtt Anataabika Kwa Sababu Ya Starehe Za Baba Na Mama
 
Mara nyingi hii between madogo, wanatiana mimba still hawajajua future yao so mwisho wa siku mzigo unabaki kwa bibi.
 
Na wanawake wa Dar wanaongoza kwa kutiwa nyuma a.k.a kutifuliwa kifusi,kuliwa mavi,jicho,ndogo[emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Mara nyingi hii between madogo, wanatiana mimba still hawajajua future yao so mwisho wa siku mzigo unabaki kwa bibi.
Upuuzi Tuuu Tena Wa Hari Ya Juu Sisemi Watu Wasifanye Bass Fanyen Kwa Ndom

Ndom Inasaida Mambo Mengi Sana
 
Wanawake wengi sasa wamejawa na tamaa wanataka kuishi maisha ambayo sio yao maisha ya instagram hivyo mwisho wasiku huishia kudandia wanaume za watu wenye mafanikio kwa tamaa zao
Akiona anakigali si kujigonga huko na kuomba ofa ya kutolewa out mwishowe mimba halafu anamke, na utazani atamwacha mkewe bali atasawazisha yanaisha naupendo unaendelea huku shoga ni kugalagala na mimba yake
 
Kwann Umkimbie Mwanamke Ambae Amekuamin Kias Kwamba Amekubebea Mtt Na Kukutunzia kama

Ulikuwa Huna malengo Nae Usingefanya Nae Hilo Tendo Ambalo Leo Hii Mtt Anataabika Kwa Sababu Ya Starehe Za Baba Na Mama
Mtu anamkewe unategemea atakubali aharibu ndoa yake?na wataachwa sana kwa starehe ya siku moja badala ya kuzingatia masomo na siku hizi shule kibao wanaendekeza uhuni tu
 
Mtoto mdogo kujibebisha kwa watu wazima mmmmm
 
Akiona anakigali si kujigonga huko na kuomba ofa ya kutolewa out mwishowe mimba halafu anamke, na utazani atamwacha mkewe bali atasawazisha yanaisha naupendo unaendelea huku shoga ni kugalagala na mimba yake
Tatizo watoto wadogo wanataka mambo makubwa mapema sana so baadae wanaishia kuwa wamama.
 
Angalia Comment hata Hawashituki maana Wengi wao ni watu wa dar hao hao unawaongea....
 
Jamaa unafeli asilimia kubwa ya watu wa mikoank wana watoto, hii inatokana na hulka ya watu wa mikoank kuanza kujihusisha na mapenzi mapema sana na kupelekea kupata mimba...CC Kasulu, Kibondo, Kigoma, Ngara, Bukoba, Shinyanga, Dodoma, etc
 
Back
Top Bottom