Nimefanya kwa Dar tu na kuangalia pia waliotoka mikoani kuja kutafuta maisha Dar.Jamaa unafeli asilimia kubwa ya watu wa mikoank wana watoto, hii inatokana na hulka ya watu wa mikoank kuanza kujihusisha na mapenzi mapema sana na kupelekea kupata mimba...CC Kasulu, Kibondo, Kigoma, Ngara, Bukoba, Shinyanga, Dodoma, etc
NaamWakuu,
Nimeamua kufanya utafiti kwa Dar japo si rasmi kuhusu kwanini mabinti wengi tena wenye age ndogo ni masingle mother. Katika utafiti wangu nimegundua kuwa asilimia kubwa ya mabinti wa Dar tena wale wa Dar asilimia wana watoto tena wengine zaidi ya wawili. Hawa wengi wana age kati ya 19-27.
Wale mabinti waliotoka mikoani kuja kutafuta maisha Dar wao ni asilimia chache sana wana watoto. Nikajaribu pia kuchunguza ni nini chanzo cha tatizo nikagundua kuwa pia asilimia kadhaa ya hawa mabinti wamekua na kulelewa na single parent.
-Nimegundua pia wazazi wa Dar wakieletewa kesi za mimba hawapaniki kama wale wa mikoani (Jirani yetu aliwahi kumfukuza binti yake kisa amepata mimba tena akamwambia usikanyage kwangu hadi nimekufa).
-Mwisho, wazazi jitahidi sana kuwalea watoto wenu vizuri, watimizieni yale mahitaji madogo madogo kama vile kusuka na sio mbaya akamnunulia kasmart phone hata tecno inatosha. Vijana tukiamua kukubali majukumu ya mzazi lazima tutake kuwa baba ili kukamilisha lengo.
Nimefanya kwa Dar tu na kuangalia pia waliotoka mikoani kuja kutafuta maisha Dar.
NaamWanawake wengi sasa wamejawa na tamaa wanataka kuishi maisha ambayo sio yao maisha ya instagram hivyo mwisho wasiku huishia kudandia wanaume za watu wenye mafanikio kwa tamaa zao