Asilimia kubwa ya Watanzania hatujui nini tunachotaka au tunafanya maishani

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Watanzania wengi tumekuwa bendera fuata upepo ndio maana misimamo ya kile tunachofanya kuanzia elimu, siasa, sanaa, michezo, maisha, baishara na n.k ni kama tunaangalia au kukipokea kwa haraka wimbi hili.

Wanafunzi kwa sababu fulani anasoma PCM na wewe unaenda tu.

Wanafunzi wa vyuo nao ni janga ilimradi hana soma kwa sababu ya fulani hana somea hilo.

Biashara hapa ndo kabisa kama ni tatizo ukifungua biashara ngeni ikilipa tu kila mtu hana kufungulia hapo hapo wakati ungeshauri ifanyike hapo usingesiki mtu kujaribu mpaka ujaribu.

Siasa huku mtamaliza wenyewe.

Sasa kuna wimbi la jamii limeanza kuiga mambo ya watu maarufu au wenye wafuasi kwa kufuata matendo yao kama ukahaba, udangaji, ushoga, ujinga, fake life na n.k
 

Akili zako unazijua mwenyeo Tatua tatizo ili madereva wasilalamike, sio kuwasema viongozi wa upinzani.
 
Sasa nini kifanyike ili kuokoa kizazi kijacho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…