Mtu asiyefunga mwezi wa Ramadhan huitwa KOBE. Swali: nini asili ya jina hili? Kuna uhusiano gani kati ya asiyefunga na mnyama kobe? Kwa nini asingeitwa NGURUWE kabisa kwasababu mnyama huyo ni mlafi na ni haramu?
Nadhani k/sbb labda wasiofunga, hasa wale wasiotaka kuonekana kuwa hawajafunga, hula kwa kujifichaficha km afanyavyo kobe. Kobe anaweza kula huku kichwa chake kikiwa ndani ya gamba lake, na hivyo kutoweza kuonekana.