The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Huyu mwingine ndo KigogoMsoga,Kizimkazi na Kolomije wote hawakwenda na wote ni watuhumiwa.
Hao wote wamekutana kwenye siasa, ni vipi Magufuli amemtengeneza Samia? Labda amemtengeneza kuteka na kupora chaguzi. Kwani ilikuwa lazima kila kiongozi aende kwenye hiyo hafla? Isitoshe kwa sasa wanachama wa ccm wameanza kuzomea misibani, ulitegemea Samia aende? Na kibaya zaidi hiyo shughuli ibada iliongozwa na RC ambao hawako na muuaji.View attachment 3560091
Kwa namna hayati John Pombe Magufuli alivyomtengeneza Samia Suluhu Hassan kIsiasa, wengi walidhani angekuwa mstari wa mbele kuhudhuria kumbukumbu yake. Kweli, binadamu tu viumbe wenye kusahau kirahisi na haraka.
Kwanini Samia hakuhudhuria kumbukumbu ya mwendazake? Ama kweli, asiyekuwepo na lake halipo. Isitoshe, paka akiondoka, panya hujitawala.
Inasikitisha. Pia, ni aibu na unyama sina mfano. Binadamu ni nani hadi ajilishe pepo na kujisahaulisha utadhani ataishi milele?