Asiyesikia la mkuu! IMF walituonya, sasa uchumi umeshuka kwa 2% kwenye robo ya kwanza

Asiyesikia la mkuu! IMF walituonya, sasa uchumi umeshuka kwa 2% kwenye robo ya kwanza

English ni tatizo kwako... hiyo 7.1 ni average ya mwaka,ila kwenye robo ya kwanza mwaka jana tulikua 6.8 wakati sasa tuna 5.7 kwa hiyo 5.7-6.8=-1.1
Unapaswa uwe na ufahamu mzuri wa lugha pia walau elimu ya msingi ya uchumi au uhasibu ili uweze kubishana kwenye mambo haya
ndo tujuze sasa! unashuka au unapanda?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi wengine maisha yetu hayana influence na neno kitu uchumi.

Nikigeuka shambani nachuma ndizi, nikitazama mti kuna Parachichi limeiva, nikiingia shambani kuna viazi na Magimbi.
Nikienda sokoni kuna nguo za mtumba ZA 500 HADI 3000/=.
Nikitazama shuleni watoto wanasomeshwa na JAMHURI, Silipi Ada.

Nikirudi Radioni serikali inatujengea Uwanja WA ndege WA kimtaifa Chato.

Nimekwenda kijiweni nikasikia hii serikali inaleta Viwanda.

Huo uchumi nausikia humu kwenye fesibuku.


Wakati hata Bloomberg ukimfuatilia. Mambo ya uchumi kuporomoka kwa quarter ni ya kawaida sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
mitumba yako inafutwa utavaa za kiwanderni kama utaweza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom