Sisi wengine maisha yetu hayana influence na neno kitu uchumi.
Nikigeuka shambani nachuma ndizi, nikitazama mti kuna Parachichi limeiva, nikiingia shambani kuna viazi na Magimbi.
Nikienda sokoni kuna nguo za mtumba ZA 500 HADI 3000/=.
Nikitazama shuleni watoto wanasomeshwa na JAMHURI, Silipi Ada.
Nikirudi Radioni serikali inatujengea Uwanja WA ndege WA kimtaifa Chato.
Nimekwenda kijiweni nikasikia hii serikali inaleta Viwanda.
Huo uchumi nausikia humu kwenye fesibuku.
Wakati hata Bloomberg ukimfuatilia. Mambo ya uchumi kuporomoka kwa quarter ni ya kawaida sana.
Sent using
Jamii Forums mobile app