Ask women

Kwa nini wanawake hampendi kuliwa mbususu pasipokuwa na mahusiano?
 
Swala la kusuka nywele lina nafasi gani kwenu wanawake?
Nafasi kubwa sana au nafasi ndogo sana hii inategemea na aina ya Mwanamke uliyenaye.Nakupa mfano Mimi ni mvivu wa kukaa chini muda mrefu hivyo sipendi sana kusuka nywele japo huwa nasuka kwa miezi miwili labda mara moja.Nywele zangu huwa nikienda saloon naweka dawa na kuzi retouch(sina uhakika kama ndio inaandikwa hivyo)baada ya muda.lakini kuna mwingine anataki kwa mwezi akishindwa sana mara mbili
 
Kwa nini nyie wanawake mnahangaika kusoma sana wakati jukumu lenu hapa duniani ni kuzaa na kulea watoto?
 
Kwa nini nyie wanawake mnahangaika kusoma sana wakati jukumu lenu hapa duniani ni kuzaa na kulea watoto?
Tunasoma sana ili tusinyanyasike huko kwenye ndoa bwana.Wanaume wa siku hizi sio kama mababu zetu walivyokuwepo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kama Nauli ya Moro 8000,watume hata ka laki moja.... kilinda pochi[emoji23]
Huu ujumbe wameupata sio nauli 8000 inatumwa hiyo hiyo elfu nane nwisho wa siku tunaunga bando inakuwa nyongeza[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Tunasoma sana ili tusinyanyasike huko kwenye ndoa bwana.Wanaume wa siku hizi sio kama mababu zetu walivyokuwepo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sasa kwa nini mkishakuwa na elimu zenu mnafura nan dharau kuelekea wanaume?
 
Huu ujumbe wameupata sio nauli 8000 inatumwa hiyo hiyo elfu nane nwisho wa siku tunaunga bando inakuwa nyongeza[emoji16][emoji16][emoji16]
Kha yaani unatiwa nauli 8k😲😲😲😲 mbona huyo mwanaume kakudharau sana. Kima cha chini nauli ni 30k
 
Sasa kwa nini mkishakuwa na elimu zenu mnafura nan dharau kuelekea wanaume?
Saa nyingine unakuta hata sio dharau ni ule uhuru tu unaotokana na pesa ndio wanaume hutafsiri kama dharau
 
Kha yaani unatiwa nauli 8k[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44] mbona huyo mwanaume kakudharau sana. Kima cha chini nauli ni 30k
Si ndio maana watu wananunulia nauli bundle ili kuepuka makasiriko ya nafsi[emoji2960][emoji2960]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…