luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,160
- 21,676
Achana n kupendana mimi shoga yangu siwezi muonesha bf wangu.atakuwa anasikia story namsimulia tu.Kwanini wanawake hampendani na mnanafkiana sana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana n kupendana mimi shoga yangu siwezi muonesha bf wangu.atakuwa anasikia story namsimulia tu.Kwanini wanawake hampendani na mnanafkiana sana?
But y?Achana n kupendana mimi shoga yangu siwezi muonesha bf wangu.atakuwa anasikia story namsimulia tu.
Nafasi kubwa sana au nafasi ndogo sana hii inategemea na aina ya Mwanamke uliyenaye.Nakupa mfano Mimi ni mvivu wa kukaa chini muda mrefu hivyo sipendi sana kusuka nywele japo huwa nasuka kwa miezi miwili labda mara moja.Nywele zangu huwa nikienda saloon naweka dawa na kuzi retouch(sina uhakika kama ndio inaandikwa hivyo)baada ya muda.lakini kuna mwingine anataki kwa mwezi akishindwa sana mara mbiliSwala la kusuka nywele lina nafasi gani kwenu wanawake?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwamba watume na ya kutoleaTutaacha mtavyoacha kutuma nauli kamili.
Kama Nauli ya Moro 8000,watume hata ka laki moja.... kilinda pochi😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwamba watume na ya kutolea
Tunasoma sana ili tusinyanyasike huko kwenye ndoa bwana.Wanaume wa siku hizi sio kama mababu zetu walivyokuwepo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kwa nini nyie wanawake mnahangaika kusoma sana wakati jukumu lenu hapa duniani ni kuzaa na kulea watoto?
Huu ujumbe wameupata sio nauli 8000 inatumwa hiyo hiyo elfu nane nwisho wa siku tunaunga bando inakuwa nyongeza[emoji16][emoji16][emoji16]Kama Nauli ya Moro 8000,watume hata ka laki moja.... kilinda pochi[emoji23]
Basi unawaelewa sana wanawake mkuuSina Swali Mkuu.
Tunaendelea kuperuzi JF.Huu ujumbe wameupata sio nauli 8000 inatumwa hiyo hiyo elfu nane nwisho wa siku tunaunga bando inakuwa nyongeza[emoji16][emoji16][emoji16]
Sasa kwa nini mkishakuwa na elimu zenu mnafura nan dharau kuelekea wanaume?Tunasoma sana ili tusinyanyasike huko kwenye ndoa bwana.Wanaume wa siku hizi sio kama mababu zetu walivyokuwepo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kha yaani unatiwa nauli 8k😲😲😲😲 mbona huyo mwanaume kakudharau sana. Kima cha chini nauli ni 30kHuu ujumbe wameupata sio nauli 8000 inatumwa hiyo hiyo elfu nane nwisho wa siku tunaunga bando inakuwa nyongeza[emoji16][emoji16][emoji16]
Basi unawaelewa sana wanawake mkuu
Saa nyingine unakuta hata sio dharau ni ule uhuru tu unaotokana na pesa ndio wanaume hutafsiri kama dharauSasa kwa nini mkishakuwa na elimu zenu mnafura nan dharau kuelekea wanaume?
Uhuru gani unaopelekea mpaka kiwa na dharau?Saa nyingine unakuta hata sio dharau ni ule uhuru tu unaotokana na pesa ndio wanaume hutafsiri kama dharau
Si ndio maana watu wananunulia nauli bundle ili kuepuka makasiriko ya nafsi[emoji2960][emoji2960]Kha yaani unatiwa nauli 8k[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44] mbona huyo mwanaume kakudharau sana. Kima cha chini nauli ni 30k
🤣🤣🤣🤣🤣Si ndio maana watu wananunulia nauli bundle ili kuepuka makasiriko ya nafsi[emoji2960][emoji2960]