Ask women

Kwa nini nyie wanawake mnahangaika kusoma sana wakati jukumu lenu hapa duniani ni kuzaa na kulea watoto?
Kuzaa na kulea pia panahitaji elimu, malezi ya watoto yanahiji elimu na ujuzi
 
Sasa kwa nini mkishakuwa na elimu zenu mnafura nan dharau kuelekea wanaume?
Inategemea na ntu na ntu, mwanamke aliekamilika hawezi kudharau uasili wake kwa sababu ya elimu au nafasi aliyonayo

Mwanaume anabaki kama mwanaume ilimrafi atimize majukumu yakw bila kutega, na mwanamke anabaki kama mwanamke ilimrado asimame kwenye majukumu yakw bila kutega
 
Sasa unachotaka kuniambia ni kwamba hawa wanaokuja kulalamika hapa kuwa wake hawatoi mbususu kwa visingizio kuwa wamecho na kadharika ni kwamba mume anategea kwenye majukumu yake?

Kama ni hivyo mbona demu unamuhudumia na mihela yote lakini bado mbususu anagawa?
 
Ungewauliza vizuri maana unakua umesikiliza upande mmoja, hebu sikiliza upande wa mke pia

Kuna thread moja siikumbuki mwanamke alikua analalamika kwamba majukumu yote ya familia ameachiwa, mume anafanya kazi lakini hatoi huduma, mke anapambana na kila kitu kuanzia ada, chakula, kodi ya nyumba na bado mume akirudi anadai mbususu

Hapo kwenye nyumba mume ni nani nq mke ni nani? Mwanaume sio jinsia tu, ukishaitwa mume you have to act as one
 
Je kweli wanawake mnapenda kunyonya mibolo yetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…