Skylar
JF-Expert Member
- Nov 10, 2021
- 2,334
- 5,550
Kuzaa na kulea pia panahitaji elimu, malezi ya watoto yanahiji elimu na ujuziKwa nini nyie wanawake mnahangaika kusoma sana wakati jukumu lenu hapa duniani ni kuzaa na kulea watoto?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuzaa na kulea pia panahitaji elimu, malezi ya watoto yanahiji elimu na ujuziKwa nini nyie wanawake mnahangaika kusoma sana wakati jukumu lenu hapa duniani ni kuzaa na kulea watoto?
Inategemea na ntu na ntu, mwanamke aliekamilika hawezi kudharau uasili wake kwa sababu ya elimu au nafasi aliyonayoSasa kwa nini mkishakuwa na elimu zenu mnafura nan dharau kuelekea wanaume?
Sasa unachotaka kuniambia ni kwamba hawa wanaokuja kulalamika hapa kuwa wake hawatoi mbususu kwa visingizio kuwa wamecho na kadharika ni kwamba mume anategea kwenye majukumu yake?Inategemea na ntu na ntu, mwanamke aliekamilika hawezi kudharau uasili wake kwa sababu ya elimu au nafasi aliyonayo
Mwanaume anabaki kama mwanaume ilimrafi atimize majukumu yakw bila kutega, na mwanamke anabaki kama mwanamke ilimrado asimame kwenye majukumu yakw bila kutega
Ungewauliza vizuri maana unakua umesikiliza upande mmoja, hebu sikiliza upande wa mke piaSasa unachotaka kuniambia ni kwamba hawa wanaokuja kulalamika hapa kuwa wake hawatoi mbususu kwa visingizio kuwa wamecho na kadharika ni kwamba mume anategea kwenye majukumu yake?
Kama ni hivyo mbona demu unamuhudumia na mihela yote lakini bado mbususu anagawa?
Nani kasema anapenda kushare?Sasa kama mnapenda kushare kwa nini hamtaki ndoa za wake wengi
Sii kama hivyo mambo ya kujua shosti wako huyu ndio bwana wake lakini bado unaenda kumpa asali...sii ndio kushare mgegedo hukoNani kasema anapenda kushare?
Siwezi ruhudu shosti kumjua bf, hiyo haiwezi tokea labda wawe walijuana huko kabla yangu.Sii kama hivyo mambo ya kujua shosti wako huyu ndio bwana wake lakini bado unaenda kumpa asali...sii ndio kushare mgegedo huko
Dah kumbe its that bad eeh.Siwezi ruhudu shosti kumjua bf, hiyo haiwezi tokea labda wawe walijuana huko kabla yangu.
AmenMkiacha kuchepuka[emoji41]
i feel u,wana hawana ushemeji sikuizi ukizubaa kidogo watu wanaruka na bae wako[emoji23]Siwezi ruhudu shosti kumjua bf, hiyo haiwezi tokea labda wawe walijuana huko kabla yangu.
Kabisai feel u,wana hawana ushemeji sikuizi ukizubaa kidogo watu wanaruka na bae wako[emoji23]