Askar wetu..hata kubadili uniform tuu shida...

Anajipooza na chochote

Hapo anasema kazi tumezikuta,na tutaziacha
Raha jipe mwenyewe usingoje kupewa

Kama Mwema kaibiwa Upanga wa Dhahabu
sasa yeye ana kosa gani .......
 
Hawa jamaa tamaa za pesa zitawafikisha Pabaya,yaani kaz kuombaomba vijisent kwa Drivers,then pesa yote kwenye Urabuuu!
 
hebu kuwa mstarabu basi mwache afande wangu apumzike
 
Kweli. Pesa za kuombaomba na usiyoitolea Jasho haikai mkononi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…