Askari 15 wanasurika kifo baada ya gari walilopanda kugongana na fuso

Askari 15 wanasurika kifo baada ya gari walilopanda kugongana na fuso

Poleni sana wazalendo namba Moja ambao mnafanya kazi vizuri na Kwa uzalendo uliotukuka kuzidi taasisi zote nchini
 
Poleni Sana - Mungu Atawafanyia Wepesi Hali Zenu Zirudi kwenye ukawaida Wake
 
(Alisema chanzo kamili cha ajali hiyo bado kinachunguzwa na vyombo husika)
Hapa mamwera ndio wana makosa maana kwa ninavyowajua ndugu zetu wa fuso kama angekuwa na makosa tayari chanzo kingesemwa
 
Back
Top Bottom