S Sappire JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 5,419 Reaction score 13,531 Aug 13, 2025 #21 Poleni sana wazalendo namba Moja ambao mnafanya kazi vizuri na Kwa uzalendo uliotukuka kuzidi taasisi zote nchini
Poleni sana wazalendo namba Moja ambao mnafanya kazi vizuri na Kwa uzalendo uliotukuka kuzidi taasisi zote nchini
S Sing bad JF-Expert Member Joined Sep 10, 2024 Posts 367 Reaction score 388 Aug 13, 2025 #22 Poleni Sana - Mungu Atawafanyia Wepesi Hali Zenu Zirudi kwenye ukawaida Wake
Mnachihanguuu JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 6,406 Reaction score 9,830 Aug 13, 2025 #23 Duh aisee kwanini hawajafa ?
DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 43,321 Reaction score 109,608 Aug 13, 2025 #24 Adverse Effect said: CHADEMA tunawapa pole wahanga wote wa ajali tunawatakia na kuwaombea uponyaji mwema na wa haraka. Vipi hapo mkuu? 🤣 Click to expand... Ha ha ha ha....utakua mwanachadema uliyedukuliwa😄
Adverse Effect said: CHADEMA tunawapa pole wahanga wote wa ajali tunawatakia na kuwaombea uponyaji mwema na wa haraka. Vipi hapo mkuu? 🤣 Click to expand... Ha ha ha ha....utakua mwanachadema uliyedukuliwa😄
K kotapini Member Joined Feb 15, 2015 Posts 99 Reaction score 183 Aug 13, 2025 #25 (Alisema chanzo kamili cha ajali hiyo bado kinachunguzwa na vyombo husika) Hapa mamwera ndio wana makosa maana kwa ninavyowajua ndugu zetu wa fuso kama angekuwa na makosa tayari chanzo kingesemwa
(Alisema chanzo kamili cha ajali hiyo bado kinachunguzwa na vyombo husika) Hapa mamwera ndio wana makosa maana kwa ninavyowajua ndugu zetu wa fuso kama angekuwa na makosa tayari chanzo kingesemwa
Huruma siyo malezi JF-Expert Member Joined Jul 18, 2020 Posts 2,168 Reaction score 4,773 Aug 13, 2025 #26 Fuso halina shabaha
Hammer11 JF-Expert Member Joined Feb 18, 2024 Posts 2,028 Reaction score 2,664 Aug 13, 2025 #27 Wangekufa wote wasibaki hata mmoja