Askari aliyejeruhiwa kwenye Maandamano ya Raila Odinga afariki dunia

Askari aliyejeruhiwa kwenye Maandamano ya Raila Odinga afariki dunia

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
AKH-og_image.webp

Kamanda wa Polisi wa Kaunti ya Kisumu, Alphonse Wambua amesema Koplo Ben Oduor, alikimbizwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) katika Hospitali ya Aga Khan saa 10 jioni na kufariki wakati akipata matibabu.

Afisa huyo kutoka katika Kituo cha Polisi cha Keroka katika Kaunti ya Nyamira, alikuwa akilinda amani eneo la Jamia Supermarket ambapo alizidiwa na waandamanaji ambao walimshambulia kwa mateke.

Muungano wa Azimio la Umoja One ukiongozwa na Raila Odinga umekuwa ukiendesha maandamano Nchini humo kwa madai ya kupinga Gharama kuwa za maisha na Mabadiliko ndani ya Tume ya Uchaguzi IEBC.

==============

A police officer has succumbed to injuries he sustained during anti-government protests that took place in Kisumu County’s Juakali area on Thursday.

Corporal Ben Oduor, who was stationed at Keroka Police Station in Nyamira County, was keeping the peace around Jamia Supermarket area when he was overwhelmed by protesters who viciously descended upon him with kicks and blows.

Confirming the incident, Kisumu County Police Commander Alphonse Wambua told Citizen Digital that the injured officer was rushed to the Aga Khan Hospital’s Intensive Care Unit at around 10pm but he unfortunately passed away while receiving treatment.

The deceased’s body is currently lying at the institution’s morgue pending post-mortem.
 
Raila Odinga Asipokuwa Makini Watamchomea Kibanda
 
Kuna wakati nashangaa kumuona askali anajiamini kwa sababu kavaa magwanda huku anaona rundo la raia wenye hasira wanakuja, badala aiokoe nafsi yake anasubiri huruma yao.
Unaijua nguvu ya silaha aliyoibeba?
 
Kuna wakati nashangaa kumuona askali anajiamini kwa sababu kavaa magwanda huku anaona rundo la raia wenye hasira wanakuja, badala aiokoe nafsi yake anasubiri huruma yao.
Ndio Uaskari Huo, Hutakiwi Kuonyesha Nidhamu ya Uoga😆
 
Unaijua nguvu ya silaha aliyoibeba?
Tatizo siyo nguvu ya silaha aliyobeba,n tatizo ni sheria ya kuitumia. Km ingekuwa wanapewa tu hizo silaha ili wazitumie watakavyo dunia isingekuwa mahali salama. Ndiyo maana anaweza kuwa nayo lakini km pambo la kutishia tu. Sasa wewe ujifanye eti una nguvu ya bunduki na uuwe watu hovyo uone km utabaki salama. Utakufa kwa mateso makali huku familia iliyokuwa inakutegemea ikiendelea kutaabika.

Kwa ufupi hakuna silaha yenye nguvu km raia hasa wenye hasira Kali. Kimbia na uinusuru roho Yako, kazi Yako, na bunduki Yako maana kijeshi kupoteza silaha kwenye mazingira ya kizembe hayo ni heri ujifie kabla ya kukamata.
 
Unaijua nguvu ya silaha aliyoibeba?
Wewe upo dunia gani kijana wangu?.

Una hiyo siraha yako SMG, kwa uelewa hauwezi kuwa na risasi zaidi ya 50, alafu raia wenye jazba kama wote wanakufuata and they don't care how you're so, nini kinafuata hapo?.
 
Back
Top Bottom