Askari amshushisa dereva matusi na kipigo, Ni vipi tunaweza kujitetea na uonevu bila hofu ya kuuliwa, kubambikiwa kesi za madawa, ugaidi, n.k

Inatisha. Mitusi kunyanyasa mangumi?! Hawa polisi wetu wana shida gani?!
 
Kuna baadhi ya watu Afrika unapaswa ku deal nao style hii. Ukijifanya una deal nao kiulaya ulaya kwenye ustaarabu utaishia wewe askari kupigwa makofi. Clip tunayoona inaonesha mwisho wa tukio lakini haioneshi tukio zima.
 
kuna siku niliwakalisha askar watano na mmoja akiwa na bunduki, ilikua show kama ya dakika 5. Hawa ndugu zetu sometimes wana kausengerema.
Una bahati hukutwanga risasi. Nani kakwambia sifa ya kuwa askari polisi ni kuwa mbabe wa kijiji kizima? Nenda nchi yeyote wafanyie polisi hivyo, uone kama utaiona kesho.
 
Ilitakiwa ijulikane chanzo sidhani kama askari ni kichaa
 
Madereva ukiwaletea mazoea watakufanyia mazoea. Kuna wabongo wengine bila kudili nao kimbuzi mbuzi hamfiki
 
Mimi hawezi kunipiga askari kifala namna hiyo. Wanipe tu kesi, ila naye atakuwa na makovu ya kudumu.
Wanaumoja Hawa ndugu na ni rahisi hata kukuua kupoteza ushaidi, omba hekima siku ukikutana na kadhia kama hiyo
 
Ukiwa ndani ya anga za askari, na unajua fika kwamba una kosa(lazima iwe hivyo) uwe mpole sana! Jitahidi kubembeleza(mara zote hawakubali), kubali maumivu, chukua tiketi yako, nenda. Ni wazi maumivu ni Makali sana, shs 30,000/= usawa huu siyo mchezo.
Vinginevyo utaishia lokap, na zikutoke pengine Mara 10 ya hizo. Hasira hasara!
 
Acha kujiongelesha kwakua upo kwenye keyboard

Sio kwenye keyboard. Hata kama ni mimi hawezi kunipiga kifala. Labda niwe eneo langu la kazi au jirani na nyumbani kiasi kwamba atajua mi nani na ninaishi wapi.
Tofauti na hapo..utapigwa mkono atakaeishiwa pumzi atakimbia.
Awe na kisu, awe na silaha nitamchakaza tu ***** zao
 
hiyo ni kama unabeti yaani,unawezapigwa ukafa kabisa maana ulijitutumua.
 
Naamini hauishi wala haufanyi kazi Msimbazi wala maeneo ya karibu.

Twende pale ukaanzishe ugomvi na mmoja tu.
 
Wanaumoja Hawa ndugu na ni rahisi hata kukuua kupoteza ushaidi, omba hekima siku ukikutana na kadhia kama hiyo
hekima haijawahi kushindwa,askari ni dhaifu sana kwa mtu mwenye hekima.

league ndizo wanapenda na wa mwisho kuumua ni wewe.
 
huu ni upumbavu japo video ya kitambo
 
askari huwa hawapigani kushindwa hilo ondoa kichwani,yaani ni lazima upoteze pambano hata kama ni kesho jioni.

yaani utambe kwamba umekaza kituo kizima wameufyata.weeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…