"Askari" aonekana akimwekea Davis Mosha kitu mfukoni

Ila wabongo sie kwa kutunga lol unkiangalia vizuri jamaa aliweka alitoa mkono mgukoni lengo ni kutaka kumshika mtuhumiwa hata alipogeuka utaona shati yake imekunjana na mkanda wa suruali kuweni makini na hisia zenu
Mkuu,jifunze kutazama vitu kwa umakini.

Huoni kama huyo bwana mkono wake ulikuwa nje,akauingiza mfukoni na kuutoa.

Huoni vile ametoa huo mkono inaonesha wazi umetoa kitu mfukoni?
 
Huyu askali ni mpuuzi kweli kweli, yaani katoa kitu kabisa na kumuwekea Davis. Nadhani tusihusishe na Makonda au serikali, hilo ni suala la maadili ya mtu binafsi. Nadhani dunia nzima imeona jinsi askali wetu wasivyokuwa na maadili
Ni nani aliyemtuma kufanya huo uhuni?

Ndio maana tunasema usiruhusu afisa akushika kabla haujamkagua.
Hawa watu wanajulikana tangu zamani,walionywa katika vitabu vitakatifu,wasiwabambikizie watu kesi.


Ukimuangalia utaona kabisa alivyokuwa na nia ovu,alivyokuwa anajibanza na Mosha.
 
ngoja tusubiri akifikishwa mahakamani ndipo tutajua ingekuwa askari wa kawaida hili lingewezekana.
kingine msiwaamini sana hawa matajiri kinachofanyika ndani sicho kinachoonekana nje nimefanya kazi private firm kwa zaidi ya miaka kumi nawaelewa hawaoni shida kumpoteza mtu kwa maslahi yao.
 
Halafu askari wa bashite ndio zao kuwawekea watu unga wakienda kuwakamata
 
Davis aliingia kichwa kichwa baada ya kukutana na mtaalamu wa social media networks. Aliinvest hela nyingi kuanzisha Swahili TV. Baada ya Mitambo kufika ndipo alipogundua mtaalamu aligraduate kutoka local library of Brooklyn.
Halafu nahisi kama hawapo sawa na usikute bomanyee ndio kamchongea kwa bashite
 
Ni nahisi kuna extortion rackets going on...
 
Awamu hii kua na uwezo halali kifedha,,kua na mali zako halali ni kosa la Jinai!Yangu macho.
 
Kwanini uzuie Maafisa Uhamiaji kufanya kazi zao Kama huna tatizo?
Mosha hakutakiwa kureact vile,kwanza getini wangeacha majina yao baada ya kuonyesha vitambulisho,wakati huko camera ya CCTV ikiwachukua audio visual,then wangeelekezwa ofisini kwa boss,angewapokea ofisini,sio yeye kuwafuata,na angewasikiliza kwa ustaarabu mle,again I lazima camera iwepo ya kurekodi Maneno na vidio,kama ushahidi ukihitajika.
Kama wamekuja kuomba hela huo ndo mtego nzuri,na sio kuanza kufokeana nao kama alivyofanya hiyo mkurugenzi,kitambi meneja
 
Nilihisi hiki kitu bomanyee hampaishi tena mosha ingekuwa enzi zao sasa hivi angeshatoa tamko
Anampaisha Bashite angalau kule anauhakika wa mdomo kwenda kinywani
 
Vitambulisho muhimu kuonyesha,tena kama mlinzi yuko makini,lazima avihakikishe kimoja kimoja na kuviscan,ili kama ni fake ID,
Baadae image itatumika kumnasa mwenye nacho
Kama walikuja kusearch,lazima Wawe na warrant,kama sikosei
 
Yaani na wewe unathubutu kabisa kusema UNAONA WAZI. kazi kweli kweli.
Acha kukurupuka wewe! Nimeandika "...unaona wazi ANATOA MKONO MFUKONI!"

Sasa unataka kusema hilo tukio la Afisa Uhamiaji kutoa mkono mfukoni mwake halionekani kwa wazi?!

Kwa upande mwingine; unataka kusema huoni hiyo "zero distance" kati ya Mosha & huyo askari, tukio lililofuata mara alipotoa mkono wake mfukoni?!
 
Davis aliingia kichwa kichwa baada ya kukutana na mtaalamu wa social media networks. Aliinvest hela nyingi kuanzisha Swahili TV. Baada ya Mitambo kufika ndipo alipogundua mtaalamu aligraduate kutoka local library of Brooklyn.
Hahahaha eti local library of Brooklyn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…