Huyo aliyerekodi hakujua issue itamgeukia . Director wa movie hajawa smartInaonekana hii ishu ilipangwa kabisa.....m naanza na nan aliyekua anarekodi video na kuisambaza???????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo aliyerekodi hakujua issue itamgeukia . Director wa movie hajawa smartInaonekana hii ishu ilipangwa kabisa.....m naanza na nan aliyekua anarekodi video na kuisambaza???????
Tuwe tunavaa modo kumbe inasaidiaMission impossible,suruale ya mosha ipo tight sana
Kweli kaweka kitu na nafikiri jaamaa aliye juu kaona mchezo huo
!
!
Ndio.... Kamwekea Kitu Mfukoni.
Angalia vzr ni kweli huyo jamaa katoa kitu mfukoni mwake akamuwekea Davis kisha akamsukuma.
ingawa wanasema heshimu uwezo wa mtu wa kufikiri ila mida fulani lazima kuhoji uwezo wa watanzania, kwa nini hutumia hisia kufanya hitimisho?Hizo mbinu walisoma zamani kabla ya tekinolojia na wao wanaendelea kuzitumia ka kukariri bila kujua teknolojia inawaumbua, kwa mwendo huo kamwe hatutafika maana ni full mawazo mgando
Nimeangalia kwa makini clip ya askari waliojifanya kuwa wa IMMIGRATION waliokwenda kwa Davis Mosha,Mmoja wa hao "maaskari" aliyevaa shati la kijivu alimsogelea kwa kumvizia Davis Mosha wakati wakibishana na hao "askari feki" akamuwekea kitu mfukoni halafu akamsukuma. Tumesikia kuwa Davis Mosha alipelekwa polisi.....Ninahisi kuwa aidha walimtilia bangi au Dawa za kulevya au simu waliyosema aliwanyang'anya wao. Aliyevaa shati la kijivu anafanana na yule aliyemtolea Nape Nnauye bastola mwaka jana.
Inasikitisha kuona nchi yetu inaharibiwa na hao askari wa Makonda. Huo ni mfano mwingine wa aina ya uvamizi unaofanywa na askari wa Makonda, ukianzia Clouds TV, Utekaji wa Roma Mkatoliki na uvamizi kwenye kituo cha mafuta cha Peter Zakaria huko mkoani Mara. Aina hiyo ya uvamizi na utekaji unafanana kwa namna moja au nyingine hivyo inaonekana mpangaji wa hayo maovu inawezekana akawa mtu mmoja ambaye si mwenye akili kabisa, Tumefikia pabaya kwa mambo yanayotokea nchini mwetu imekuwa kama Uganda wakati wa Idi Amin na Malyamungu walivyokuwa wakitumia vikosi vya State Bureau kuteka na kuua (au kupoteza watu....Kama anavyosema Jerry Muro) Hiyo link hapo chini utaona video yote. Kama utaclick na itashindwa kufanya kazi copy
Yaani na wewe unathubutu kabisa kusema UNAONA WAZI. kazi kweli kweli.Sawa Mosha ana ubabe wa kipumbavu na kwanini azuie Maafisa Uhamiaji kufanya kazi zao, lakini je mna maoni gani na mashaka ya mleta mada kwamba huyo jamaa kaweka kitu mfukoni mwa Mosha?
Ukiangalia, unaona wazi jinsi huyo askari anavyoingiza mkono mfukoni mwake kisha anaenda kumbana Mosha upande wa kushoto!!
Kwani hapo Mosha kabambikiziwa kesi gani?Kupitia huyu tunapata picha kwamba wapo watanzania wengi wanateseka kwa kesi za kubambikiwa kama hizi. Ikigundulika ukweli kwenye hili, itakua vyema mahakama ikachukua hatua kali dhidi ya hao maafisa na mkuu wao wa operation ili iwe fundisho.
Nami km nimeona hivyo ,dizaini alitaka kumpiga Tanganyika jeki ,akawahiwaIla wabongo sie kwa kutunga lol unkiangalia vizuri jamaa aliweka alitoa mkono mgukoni lengo ni kutaka kumshika mtuhumiwa hata alipogeuka utaona shati yake imekunjana na mkanda wa suruali kuweni makini na hisia zenu
Endelea kufatilia hiyo kesi utasikia kunakitu alikamatwa nacho. Binafsi siumii kwan nmesikia ndiye mfadhiri wa hao watesi so kama wamegeukana ni jambo la kheri. Inawezekana ndivo Mungu ameamua watesi waanze kupukutika namna hiyo!Kwani hapo Mosha kabambikiziwa kesi gani?
Jamaa amem frisk kiaina kuchek kama ana concealed weapon ni standard procedure unapo deal na mtu anaye weza kuwa armed and violentNimeangalia Mara 17 but sijaelewa. Suruali ya mosha imembana saaana kuwekewa kitu so jambo rahisi
Acha hizo mkuuHuyu ni npambe wa Mosha wala si askari
Nadhani ni hisia zako tu. Mifuko imebana namna hiyo siyo rahisi. Tajiri yako kachemsha. mwambie hii awamu siyo ya Kiwete ambayo mwenye fedha ndiye ''aliyejua'' sheria!Ukiangalia kwa makini huyo mwenye shati la kijivu ametoa kitu mfukoni kwake akamsogelea Davis Mosha (Akajiweka upande kwa upande au kwa kiingereza "side by side" Kwa mkono wa kulia ambao aliufunga/aliukunja alipoutoa mfukoni mwake akaingiza kwenye mfuko wa suruali wa kushoto wa suruali wa Davis Mosha wakati huo akitumia mkono wa kushoto kumsukuma Mosha. Ukiangalia kwa makini mkono wa kulia wa huyo "askari"baada ya kuuingiza mfukoni kwa Davis Mosha akautoa ukiwa hauna kitu (Tofauti na mwanzo) halafu akatumia mikono yake miwili kumsukuma Mosha. Angalia kwa makini alichokuwa akifanya...kuwa "Detail oriented" Suruali kubana siyo tatizo kwa sababu si lazima alichowekewa siyo lazima kiwe kikubwa pia kumbuka hiyo suruali Davis Mosha anatumia hiyo mifuko ya suruali aidha kuwekea walet au inatosha pia kuweka mikono yake, hivyo suruali kubana siyo tija. Hapo yeyote mwenye macho na akili timamu anaona kilichotokea. Hapo ni simply kubambikiza....Hiyo system ya kubambikiza siyo ngeni hapa Tanzania hao polisi uchwara na polisi wa kawaida ni kitu wanachofanya siku zote. LINI HUU UONEVU UTAKWISHA?
Umeeleweka sana. Labda wewe ndiyo hujaelewa. Kwa hiyo hao maofisa walijua kabisa kuwa Mosha angefanya vurugu na wakati wa vurugu watakuwa na chance ya kumwekea kitu mfukoni?Msingi wa hoja hii umeuelewa lakini mkuu?
Swali: Hao maofisa kabla ya kwenda walijua kabisa kuwa ni lazima Mosha atafanya vurugu, na kuwasukuma sukuma hivyo watapata muda wa kumwekea kitu mfukoni wakati wa vurugu?Hoja sio kama alifanikiwa kuweka au hapana bali hoja ni dhamira ya huyo jamaa!! Hoja yako ni sahihi, kutokana na suruali ya Mosha kubana, inawezekana zoezi lilishindikana lakini je, si inaonesha alikuwa na hiyo nia?
Unganisha dots kutoka Swahili TV