"Askari" aonekana akimwekea Davis Mosha kitu mfukoni

Alisema mbwa akimaanisha mtu masikini ukimlinganisha na yeye,Mimi naona sawa wale jamaa ni mbwa tu kwa mosha yupo sawa kabisa,

Kama yupo sawa basi msilalamike maana yalisha semwa ...anataka matajiri waishi kama
 
usipotii Mamlaka utapata Tabu sanaaaaaaa....hatuangalii utajiri wako....je unafuata sheria za nchi basi...hilo ndilo linaloaangaliwa na si uatajiri wako au cheo chako...huo ndio utawala wa shria mnaoupigia kelele kila siku.... sasa kuna mjinga mmoja kabadili muktadha wa tukio na manyumbu yanafuata tu
 
Subiri siku yako! Unadhani wenzako hao, hao wanafuta maagizo tu.
 
Unamuongolea yule mropokaji Lugola....Hajui lolote, asiye na hekima wala ujuzi wa kutenda kazi ila kuropoka, angalia polisi wenyewe wamempinga huyo bosi wao kwa sababu anaongea ujinga. Atashona sana vifuko vya mibendera yake. Mkumbusheni kuwa siku hizi Madelu Nchemba havai tena skafu za bendera! Yote yana mwisho! Simtetei mhalifu lakini mfuate channel za sheria akikosa apelekwe mahakamani, apelekewe wito wa kuitwa polisi halafu kama ana makosa si afunguliwe mashtaka, serikali hii imejaa sarakasi mara tunaambiwa mwandishi wa habari amekamatwa na watu wa TANESCO kwa kuwaandika vibaya...What? Hizi sheria za wapi? TENDENI HAKI
 
W
WAWEKE NA CAMERA ZA ENEO LA SHAMBULIO LA LISSU WAUMBUKE!
 
Davis aliingia kichwa kichwa baada ya kukutana na mtaalamu wa social media networks. Aliinvest hela nyingi kuanzisha Swahili TV. Baada ya Mitambo kufika ndipo alipogundua mtaalamu aligraduate kutoka local library of Brooklyn.
mbona unaandika kwa mafumbo sana dada yangu ninayekuheshimu sana hapa jf?.

pls funguka tu ili sisi maamuma tupate kuunga dot kwa urahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…