"Askari" aonekana akimwekea Davis Mosha kitu mfukoni

"Askari" aonekana akimwekea Davis Mosha kitu mfukoni

usipotii Mamlaka utapata Tabu sanaaaaaaa....hatuangalii utajiri wako....je unafuata sheria za nchi basi...hilo ndilo linaloaangaliwa na si uatajiri wako au cheo chako...huo ndio utawala wa shria mnaoupigia kelele kila siku.... sasa kuna mjinga mmoja kabadili muktadha wa tukio na manyumbu yanafuata tu
 
usipotii Mamlaka utapata Tabu sanaaaaaaa....hatuangalii utajiri wako....je unafuata sheria za nchi basi...hilo ndilo linaloaangaliwa na si uatajiri wako au cheo chako...huo ndio utawala wa shria mnaoupigia kelele kila siku.... sasa kuna mjinga mmoja kabadili muktadha wa tukio na manyumbu yanafuata tu
Subiri siku yako! Unadhani wenzako hao, hao wanafuta maagizo tu.
 
Mkuu mbona povu linakutoka sana
Vipi unamaslahi nae
Aungemshautri atii sheria bila shuruti
Lugola alipowaambia waajiri wajiandae yeye alikuwa anasikiliza nini? bongo fleva.Au mlizania Lugola anatania
Huyu jamaa kuna uhakika kuwa anaajiri wafanyakazi haramu that why alipanic...
Mlizoea kuyaona haya yakifanyika kwa upinzani mkazani mkiwa ccm mnaweza kufanya lolote
Zama zimebadirika, Lugola ndani ya nyumba mwendo niule ule na ccm ni ileile
Unamuongolea yule mropokaji Lugola....Hajui lolote, asiye na hekima wala ujuzi wa kutenda kazi ila kuropoka, angalia polisi wenyewe wamempinga huyo bosi wao kwa sababu anaongea ujinga. Atashona sana vifuko vya mibendera yake. Mkumbusheni kuwa siku hizi Madelu Nchemba havai tena skafu za bendera! Yote yana mwisho! Simtetei mhalifu lakini mfuate channel za sheria akikosa apelekwe mahakamani, apelekewe wito wa kuitwa polisi halafu kama ana makosa si afunguliwe mashtaka, serikali hii imejaa sarakasi mara tunaambiwa mwandishi wa habari amekamatwa na watu wa TANESCO kwa kuwaandika vibaya...What? Hizi sheria za wapi? TENDENI HAKI
 
W
Nimeangalia kwa makini clip ya askari waliojifanya kuwa wa IMMIGRATION waliokwenda kwa Davis Mosha,Mmoja wa hao "maaskari" aliyevaa shati la kijivu alimsogelea kwa kumvizia Davis Mosha wakati wakibishana na hao "askari feki" akamuwekea kitu mfukoni halafu akamsukuma. Tumesikia kuwa Davis Mosha alipelekwa polisi.....Ninahisi kuwa aidha walimtilia bangi au Dawa za kulevya au simu waliyosema aliwanyang'anya wao. Aliyevaa shati la kijivu anafanana na yule aliyemtolea Nape Nnauye bastola mwaka jana.
Inasikitisha kuona nchi yetu inaharibiwa na hao askari wa Makonda. Huo ni mfano mwingine wa aina ya uvamizi unaofanywa na askari wa Makonda, ukianzia Clouds TV, Utekaji wa Roma Mkatoliki na uvamizi kwenye kituo cha mafuta cha Peter Zakaria huko mkoani Mara. Aina hiyo ya uvamizi na utekaji unafanana kwa namna moja au nyingine hivyo inaonekana mpangaji wa hayo maovu inawezekana akawa mtu mmoja ambaye si mwenye akili kabisa, Tumefikia pabaya kwa mambo yanayotokea nchini mwetu imekuwa kama Uganda wakati wa Idi Amin na Malyamungu walivyokuwa wakitumia vikosi vya State Bureau kuteka na kuua (au kupoteza watu....Kama anavyosema Jerry Muro) Hiyo link hapo chini utaona video yote. Kama utaclick na itashindwa kufanya kazi copy

WAWEKE NA CAMERA ZA ENEO LA SHAMBULIO LA LISSU WAUMBUKE!
 
Davis aliingia kichwa kichwa baada ya kukutana na mtaalamu wa social media networks. Aliinvest hela nyingi kuanzisha Swahili TV. Baada ya Mitambo kufika ndipo alipogundua mtaalamu aligraduate kutoka local library of Brooklyn.
mbona unaandika kwa mafumbo sana dada yangu ninayekuheshimu sana hapa jf?.

pls funguka tu ili sisi maamuma tupate kuunga dot kwa urahisi.
 
Back
Top Bottom