nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,678
Serikali wenyewe wako busy kuiba pesa za wananchi, hizo Camera zitawaumbua hata wenyewe ndo mana wanaogopa kuziweka.Naweza sema,umetoa mawzo mjengo! Nataka kusema ofisi za police nyngi zmejaa rushwa ,na kwa ukweli rushwa hzo ni za kimtandao,nikimanisha kua police mdogo mara nyngi hula rushwa kw ktmwa na mkbwa wake, pale central police nenda vyooni uone dustbin zilvyojaa
bahasha tupu mana wapokea rushwa ndy site yao na najiuliza kwanin serikari haiweki secrty camera coridoni.police inanuka kwa rushwa