Askari hawataki kunipeleka mahakamani, nifanyeje?

Serikali wenyewe wako busy kuiba pesa za wananchi, hizo Camera zitawaumbua hata wenyewe ndo mana wanaogopa kuziweka.
 
Wenye uelewa wa sheria seriously msaidieni huyu jamaa kwana hapa kuna mabush lawyers kibao hayana postive contributions kwa muhusika mwenye tatizo.nikisema nichangie mm kisheria nitakuwa nabaka fani za watu,mm nina fani yangu.
 
Ya man,lawyers wazalendo pia wAmepotEa nchi inayumba hii,lawyers are just dealers
 
according to criminal procedure act ya tanzania mtuhumiwa anapotiwa au anapokamatwa na polisi bila warrant of arrest sheria inamtaka polisi amfikishi mtuhumiwa kwa magistrate ndani ya masaa 24 kinyume na hapo kutakuwa na ukikwaji wa sheria hata hivyo fika mpaka mahakamani mueleze hakimu atakusaidia kutatua tatizo lako ukiwa na nakala ya dhamana
 
Wenye uelewa wa sheria seriously msaidieni huyu jamaa kwana hapa kuna mabush lawyers kibao hayana postive contributions kwa muhusika mwenye tatizo.nikisema nichangie mm kisheria nitakuwa nabaka fani za watu,mm nina fani yangu.

Fan ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…