Askari kumbeba Makonda kuna sheria iliyovunjwa?

Askari kumbeba Makonda kuna sheria iliyovunjwa?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Tangu Uhuru sijawahi kuona kile nilichokiona mwaka huu Kwa Mh. mkuu wa mkoa DSM kupongezwa na Askari. Kwa tusiofahamu ile ni kawaida au kuna sheria fulani ilivunjwa?
 
Hata rais hajawahi bebwa vile....jamaa ni zaidi ya rais
 
Tangu Uhuru sijawahi kuona kile nilichokiona mwaka huu Kwa Mh. mkuu wa mkoa DSM kupongezwa na Askari. Kwa tusiofahamu ile ni kawaida au kuna sheria fulani ilivunjwa?
Embu oredhesha sheria mbalimbali ambazo zinazuia mtu kubebwa.
 
japo simkubali makonda, ila nanyi mmezidi kwa kutafuta vimakosa utadhani nyie ni malaika,
you devote most of your time snitching about others, but nothing you can earn from that task you've assigned yourself!
 
Nakushauri uache uwivu walahi
That’s all
 
japo simkubali makonda, ila nanyi mmezidi kwa kutafuta vimakosa utadhani nyie ni malaika,
you devote most of your time snitching about others, but nothing you can earn from that task you've assigned yourself!
Yule ni kiongozi wetu sote, anafanya yote kwaajili yetu na tunamlipa sisi kwa hilo.
 
ila Mako anapenda sifa haswa...yaani kaweka bastola kiunoni...hana habari

kwa kiherehere na hulka yake ya kujikweza lile tukio limepangwa.!!

mapoti hawanaga 'mchele mchele' wa kihivyo[emoji180]
 
Angalia video App ya Muungwana, kichwa cha habari "alichokifanyiwa makonda leo...." angalia video hapo
 
muungwana.page.link/TfW2kp1rusxiuvJf8
 
mkuu wa mkoa alifanya kosa kubwa sana kuwaruhusu kumbeba ...vijana wa sasa ukiwaruhusu wakubebe juujuu...(hawachelewi kupeleka vidole zao sehemu wasopaswa kugusa)😱😱😱😱
heshima plse!
 
Back
Top Bottom