Askari Magereza posho hawajalipwa, tatizo ni nini?

Mkuu vipi poleni nasikia hata yale maduka yenu ya duty free jwtz,Polisi,Magereza Uhamiaji na Zimamoto awamu ya tano iliyafuta nimeshangaa sana.Ndio mjitoe mhanga sasa mtafuteni mchawi wenu mvunjeni mkono kama mlivyomvunja Halima mdee, maana nasikia nyie hamchezewi
 
Siku hizi hatuelewi kuna shida gani, askari Magereza huwa wanapokea posho zao tar 15 ya kila mwezi ila hadi ni tar 20 posho bado.

Sasa haieleweki posho hizo watalipwa lini sasa wanaishi kwa matumaini. Lazima tutafute mbinu za kuishi kama tuna tegemea askari magereza tuliowakopesha bidhaa kwenye maduka yetu.
Ina maana wazee hampokei tarehe mosi kama polisi na jwtz
 
Mkuu vipi poleni nasikia hata yale maduka yenu ya duty free jwtz,Polisi,Magereza Uhamiaji na Zimamoto awamu ya tano iliyafuta nimeshangaa sana.Ndio mjitoe mhanga sasa mtafuteni mchawi wenu mvunjeni mkono kama mlivyomvunja Halima mdee, maana nasikia nyie hamchezewi
Awamu ya 5 ilifuta zote hamnaga tena I wish apatikane Rais ambaye ataturejeshea hayo maduka maana yalikuwa yanatuma unafuu wa kununua vitu na kupata mahitaji ya nyumbani.
 
Heeee!
JamiiForums1641130767.jpg
 
Kuweni wazalendo tunaleta ndege 5 na tunamalizia Stigler's gorge tukikamalisha hayo mtapata haki yenu.

Usikubali kutumika na mabeberu.
wewe unao huo uzalendo si ajabu unaishi kwa pesa za wizi ndio maana unasema hivyo, matumbo yetu na maisha ya familia iweje tule wapi kama mmeshindwa semeni yametushinda au lipeni posho acheni dhihaka.
 
Siku hizi hatuelewi kuna shida gani, askari Magereza huwa wanapokea posho zao tar 15 ya kila mwezi ila hadi ni tar 20 posho bado.

Sasa haieleweki posho hizo watalipwa lini sasa wanaishi kwa matumaini. Lazima tutafute mbinu za kuishi kama tuna tegemea askari magereza tuliowakopesha bidhaa kwenye maduka yetu.
Imetoka tangu jumatatu, bado package tu
 
Siku hizi hatuelewi kuna shida gani, askari Magereza huwa wanapokea posho zao tar 15 ya kila mwezi ila hadi ni tar 20 posho bado.

Sasa haieleweki posho hizo watalipwa lini sasa wanaishi kwa matumaini. Lazima tutafute mbinu za kuishi kama tuna tegemea askari magereza tuliowakopesha bidhaa kwenye maduka yetu.
Mkuu, ninaomba kukushauri kitu kimoja hapa.

Katika maisha siku zote mambo hayawezi kwenda unavyotaka wewe.

Katika maisha kuna kupata na kukosa, kupanda na kushuka, kuzaliwa na kufa, juu na chini pia kuchelewa na kuwahi.

Ndio maana hata ukienda katika ATMs kutoa pesa unaweza leo ukatoa pesa vizuri ila ukija kesho kutwa unakuta network hakuna.

Hii haina maana kuwa Bank husika hawapo makini, hapana, bali ni changamoto tu za kazi pamoja na maisha.

Jifunze uvumilivu katika maisha.
 
Siku hizi hatuelewi kuna shida gani, askari Magereza huwa wanapokea posho zao tar 15 ya kila mwezi ila hadi ni tar 20 posho bado.

Sasa haieleweki posho hizo watalipwa lini sasa wanaishi kwa matumaini. Lazima tutafute mbinu za kuishi kama tuna tegemea askari magereza tuliowakopesha bidhaa kwenye maduka yetu.
Nasubiri wake zenu waanze kuja kukopa walahi sitawaaacha maana mnajifanya wajuaji kuvunja wenzenu mikono !! Hasa yule mwenye mke muuza chapati keko
 
Back
Top Bottom