Askari Magereza posho hawajalipwa, tatizo ni nini?

Awamu ya 5 ili vuruga tarehe zote, polisi tar 30, magereza tar 15 sasa hizo tarehe watu hawalipwi kama ilivyo ahidiwa. imekuwa tofauti sana. haya leo tar 20 hamna posho hata.
Posho ilikua 150000/ sasa awamu hii wakakurupuka kupeleka 300000/ sasa wanashindwa zilikua mbio za sakafuni
 
wewe si ulisema umestaafu? Ukawa unalilia mafao yako au wakupe ht Nauli? vp umepata cheo kipya huko Magereza?
 
Tulia, Funga Mguu Halafu Usilalamike
Maisha Popote Kumbuka Tumewaboreshea Mengi Awamu Ya Tano
 
Kuna mmoja nimemwona anazunguka kwenye kampeni za magufuli amevalishwa uniform za ccm
 
Pesa tumepeleka Kwenye uchaguzi. Mtuvumilie kdgo kuanzia mwezi wa 12 tutakuwa tumemaliza hili zoezi la uchaguz. Mtalipwa stahiki zenu
 
Hivi kwa nini hamtaki kuamini kuwa CCM ni tatizo?

Halafu kumbe wewe huwa ni askari magereza, eh? Ndio maana post zako zinahusu majeshi
 
Nyie si mnakula virushwa vya buku buku za wafungwa.
28 oktoba ni tarehe ya kufanya chaguo sahihi.
 
Pesa tumepeleka kwenye kampeni za Magu nyie laleni tu njaa
 
Ile mienge wanayovaa kwenye berret imenuiziwa na kuwapumbaza hata wasilalamike hata kwenye maslahi yao.Hakuna namna wale tu misosi ya mateka
 
Posho ilikua 150000/ sasa awamu hii wakakurupuka kupeleka 300000/ sasa wanashindwa zilikua mbio za sakafuni
Yaani kukosekana posho kwa siku tano unasema wameshindwa. Ila kweli we nyang'au wa ajabu.
 
Hii thread mwandiko wa beberu kabisa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
askari mlevi analia lia,posho imechelewa siku tatu umeamua kuuza kiapo chako,siku ukiambiwa kuna dharula hutalipwa mwezi huu naona utapita mitaani na bango"MAGEREZA HATUJALIPWA".


wenzako wamenunua boda boda wakiwa off wanajikusanyia elfu mbili mbili,wewe unawaza iingie ukanywee gongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…