Askari Magereza posho hawajalipwa, tatizo ni nini?

Na pia zile bia zisizo na VAT na bidhaa nyingine zilizokua zinauzwa kwenye bar za magereza na polisi wamefuta kwanini?
 
Safi sana mtukane matusi yote kiongozi maana hawa askari tukiwaambia ccm ni janga la kitaifa hawaamini kabisa.. ccm oyeeee!!!
 
Tuko uchumi wa kati
 
Kuna watu huwa wanataka kuonekana waelewa ama wasomi mahala ambako huo usomi wao ama uelewa hata hauhitajiki!
 
Yaani kukosekana posho kwa siku tano unasema wameshindwa. Ila kweli we nyang'au wa ajabu.
Hiyo posho ina suasua sana inaonesha ni namna gani mzigo umekua mzito kwa awamu hii!!! Sio posho tuu hata pension zimeota mbawa wengi wanakufa hawazipati !!! Umeelewa mataga??
 
Tulia wewe tunagawana kwaza huku zikibaki tutawafikiria
 
Jiajili hizi kazi za ndio afande zitakuchosha kopa benki jiajili
 
Tatizo Ccm
 
Siku 5 tu unalialia. Pesa ya serikali haipitei, sema tu wakati mwingine huchelewa. Huko upigaji mwingi, subiri uhakiki mtalipwa soon
 
Safi sana mtukane matusi yote kiongozi maana hawa askari tukiwaambia ccm ni janga la kitaifa hawaamini kabisa.. ccm oyeeee!!!

ni kiumbe wa kike tu ambaye unaweza mwamabia mumeo aliyekuweka ndani na kukupa huduma zote hakupendi,ukafanikiwa kumshawishi kwa vocha ya buku 2.hakuna mahali pengine unaweza mashawishi binaadam kwa maneno mepesi namna hiyo.

askari ni mwajiriwa wa serikali ya ccm,inayomlipa pesa mkononi laki 3 kama mbadala wa maduka ya bei nafuu kambini,lissu akasikika akisema atayarudisha[emoji28][emoji28][emoji38].
sijui nani alimdanganya aseme hivi!!!
 
Tatizo ni jiwe, twende na Lissu

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Awamu ya 5 ili vuruga tarehe zote, polisi tar 30, magereza tar 15 sasa hizo tarehe watu hawalipwi kama ilivyo ahidiwa. imekuwa tofauti sana. haya leo tar 20 hamna posho hata.
Subirini uchaguzi upite
 
Labda kuna mkwamo wa network na mkunbuke mpo wengi nchi nzima.na pesa ipo kwa mhasibu ila kuna watu wana madeni mlikopa.Fuata kanun za jeshi usitie aibu mitandaoni.kuwa mzalendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…